Natafuta kazi ya kufundisha computer chuoni kama mwl wa kudumu.

gidytitus

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
332
28
Nakusalimu, Mimi ni Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Tumaini, Makumira Arusha, nachukua digrii ya BEd in Computer Science, natarajia kumaliza masomo yangu mwezi July. Naomba kama kuna uhitaji katika chuo chako au unafahamu pahali ambapo kuna uhitaji huo tafadhari naomba tuwasiliane kupitia simu yangu ya mkononi kwa namba 0658 950 264 au kwa njia ya email gidytitus@yahoo.com. Ningali bado ni kijana mwenye umri wa miaka 25, ni mkristo mwenye msimamo halisi wa wokovu (Mpentecostal)
Natanguliza shukrani!
Asante sana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom