Ajira za walimu!

gidytitus

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
332
28
Naomba kumnukuu naibu waziri wa elimu tz, Mhesh Philip Murugo. "Ajira za walimu wapya wa shule za msing na sekondari zitakua tayari na zitatolewa mwishon mwa mwezi huu wa januari" Mwisho wa kumnukuu, source; TBC1 8pm news. Sijui km kuna uhakika wa tamko hili coz walianza mwez July, wakaja sept, then 15 Novemba mwaka jana, hatimae wakasema Januar, januar ndo hii, lakn nayo wanasema mpaka mwishon! Polen sana fresh from xcul lyk me, 2nasota sn! Hapa hakuna uzalendo unajengwa!
 
bora nyie mmepewa hata time line....sie huku wengine wamepangiwa tayari wengine tunaambiwa tuvute subira tutapangwa tu
 
Acha utani serikali yetu ni sikivu sema nao tu watawasikia na kuwapangia, rudia kupeleka ujumbe maana serikali yetu japo sikivu watendaji wake viziwi
 
Acha utani serikali yetu ni sikivu sema nao tu watawasikia na kuwapangia, rudia kupeleka ujumbe maana serikali yetu japo sikivu watendaji wake viziwi

acha kutujaza ujinga serikali yetu si skivu tu bali ni ya kinafiki,watendaji wake si ndo serikali yenye,kwani serikali ni mwezi na jua,avoid nonsense.akhaaa
 
Pole sana ila endelea kuvumilia utaajiliwa tu kwenye hii ajila yetu ya kujitolea i.e ualimu,kuwa mpole teacher....
 
Acha utani serikali yetu ni sikivu sema nao tu watawasikia na kuwapangia, rudia kupeleka ujumbe maana serikali yetu japo sikivu watendaji wake viziwi

Wewe ni mpumbavu eeh! aliekwambia hii serikali ckivu nani wewe kiumbe? Acha ukuda wewe hii serikali hovyo kabisa sema mitongotongo imekujaa na unaona giza totoro mbele yako
 
Mvumilivu hula mbivu na mbichi km utapata sehemu ya kujipatia riziki fanya kazi uciisubili serikali.

u cant blv God kanpa job, nmeitwa interview sehem, 2mepgishwa interview 2kiwa 3pple na aliekua anahtajka ni only 1 bt 4th God Mecy nmepta mie! Duh! Af nlikua napga interview na majamaa wamebobea mbaya! Useme nmewazd makofidens, na knowledge ya kumjua God na Bible vmenpa point nyng sn coz intervw ilikua ni pentecostal based! Af shangaa mi ni fresher frm xcul af Mwl nmemalza mwaka jana, cheo chenyew out frm being a teacher, duh! Nawatia moyo wenzangu, don ever and ever gv up! Ua chanc 2 win z near than 2 loose! I wl pray 4u il post ztoke fasta. Believe.
 
Vuta subira ajira zitatangazwa kama ambavyo mheshimiwa amesema, kikubwa jiandae kupambana na ugumu ya mazingira kwani hali halisi ya shule zetu inajulikana
 
u cant blv God kanpa job, nmeitwa interview sehem, 2mepgishwa interview 2kiwa 3pple na aliekua anahtajka ni only 1 bt 4th God Mecy nmepta mie! Duh! Af nlikua napga interview na majamaa wamebobea mbaya! Useme nmewazd makofidens, na knowledge ya kumjua God na Bible vmenpa point nyng sn coz intervw ilikua ni pentecostal based! Af shangaa mi ni fresher frm xcul af Mwl nmemalza mwaka jana, cheo chenyew out frm being a teacher, duh! Nawatia moyo wenzangu, don ever and ever gv up! Ua chanc 2 win z near than 2 loose! I wl pray 4u il post ztoke fasta. Believe.

Congratulation kwa kupata hiyo chanc, mungu u pamoja nawe, thank a lot 4 the way ur r prayng, coz it cms how far u regard others as ppl who nd successes.
Stay blessed
 
Nataman km wote 2ngefankiwa coz nmepata pain zote za kukaa mtaan bla job! Bt God ameskia, i heard that next wik post znatoka!
 
Acha utani serikali yetu ni sikivu sema nao tu watawasikia na kuwapangia, rudia kupeleka ujumbe maana serikali yetu japo sikivu watendaji wake viziwi
Acha kudanganya watu serikali ya magamba haina hata chembe ya uckivu zaidi projo na majigambo.
 
Back
Top Bottom