Ajira za walimu!

gidytitus

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
332
28
Naomba kumnukuu naibu waziri wa elimu tz. "Ajira za walimu wapya wa shule za msing na sekondari zitakua tayari na zitatolewa mwishon mwa mwezi huu wa januari" Mwisho wa kumnukuu. Sijui km kuna uhakika wa tamko hili coz walianza mwez July, wakaja sept, then 15 Novemba mwaka jana, hatimae wakasema Januar, januar ndo hii, lakn nayo wanasema mpaka mwishon! Polen sana fresh from xcul lyk me, 2nasota sn! Hapa hakuna uzalendo unajengwa!
 
Back
Top Bottom