JK, nini tafsiri ya mabalozi hawa wapya kwa wananchi?

gidytitus

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
332
28
Naombeni wana JF na waTZ kwa ujumla mnisaidie juu ya hil la uteuz wa mabalozi wapya! Je nitakua sawa nikitafsiri kua Jk ame2onesha kua sisi raia s kitu juu ya kuwapga chini hawa watu! Wana Arusha na iwaume sn kwa yule mliyemkataa Bi Batrida sasa atawakilisha nchi yenu yote na sio Arusha tu! Mnasemaje au mmwelewaje mjomba kuteua wa2 walokataliwa na raia ktk kuwawakilisha?
 
Hata yule anaaitwa Dr Kamala naye walimkaa wananchi wa jimbo moja sasa anawakilisha nchi!!
 
Back
Top Bottom