Search results

  1. MAMA POROJO

    Nani atatosha kuwa Waziri wetu wa Fedha baada ya kifo cha Dk. Mgimwa?

    Baada ya kifo cha Waziri wa fedha Dk. william mgimwa mengi yamesemwa ndani na nje ya jukwaa letu la JF. Kwa wastani threads nyingi zimeonyesha kuwa wengi wamehuzunishwa na kifo chake jambo linaloonyesha kuwa Marehemu alitimiza wajibu wake. Hata hivyo tumesahau wajibu wetu wa kutoa maoni yetu...
  2. MAMA POROJO

    Tusikubali kugawanywa kwa sababu ya BOMU LA OLASITI

    Si vibaya watu kudhani kuwa tukio la Olasiti mkoani Arusha ni la kigaidi, lakini ni mapema sana kuanza kunyoosheana vidole kwamba watu wa dini fulani wanahusika katika hilo. kwani, majina pekee hayahalalishi kuwa ni mpango/ mkakati wa dini fulani kuishambulia dini nyingine au dini moja...
  3. MAMA POROJO

    MBATIA kufukuzwa Ubunge?

    MBATIA aliapa bungeni kwamba Waziri wa Elimu atakapowakilishwa mtaala wa elimu atajiuzulu ubunge kwani haupo tangu tupate uhuru. Mtaala wa elimu umewakilishwa na kuundiwa Tume ya wabunge 6 itakayodhibitisha mtaala huo chini ya mama Magreth Sitta. Tugemee nini kama itathibitishwa kwamba mtaala...
  4. MAMA POROJO

    Cecilia Pereso (CHADEMA) ajiuzulu udiwani wa viti maalum Karatu

    source: Star Tv saa 2 usiku huu. dada machachali Pereso na anayesemekana kuwa karibu na Dk. Slaa amejiuzulu udiwani wa viti maalum karatu kwa mujibu wa kituo hicho cha TV. kajivua udiwani wa viti maalum na kubaki na ubunge wa viti maalim kwa sababu hataki kushika vyeo viwili wakati mmoja. Je...
  5. MAMA POROJO

    Godbless Lema katika kashfa ya kuiua CHADEMA Arusha

    My Take: Chadema isipokuwa makini umaarufu wake utapungua kutokana na migogoro mingi inayokikumba chama hicho. Mwaka 2015 si mbali jahazi linaonekana kuyumba ukilinganisha na huko nyuma. Wengi wataumia ndani ya chama hicho kwani umaarufu wa mtu unakuwa juu ya chama. Hizi tuhuma dhidi ya Lema...
  6. MAMA POROJO

    Did you know that Abeid Karume was 17 years older than Julius Nyerere?

    source: WIKIPEDIA ABEID AMANI KARUME. Abeid Amani Karume (August 4, 1905 – April 7, 1972), was the first President of Zanzibar. He obtained this title as a result of a popular revolution which led to the deposing of the last Sultan of Zanzibar Sultan Jamshid bin Abdullah in January 1964...
  7. MAMA POROJO

    Hongera dk. Joyce ndarichako, wizara ya elimu walimu wa sekondari kusimamia mtihani darasa la 7

    Wanafunzi zaidi ya laki 8 wa darasa la 7 wataanza mitihani yao kesho. wanafunzi hao ni kutoka zaidi ya shule za msingi elfu 13 kote nchini. Hatua ya walimu wa sekondari kutumika kusimamia mtihani huo ni ya kupongezwa kwani inaboresha usimamizi makini. Mwanafunzi bora wa elimu ya msingi...
  8. MAMA POROJO

    Mbowe, mashambulizi dhidi ya Mwigulu Nchemba kwa memo hii kulikoni?

    Memo ya mbowe kwa nchemba imeambatishwa. Baada ya malumbano ya mbungeni Freeman Mbowe ambaye ni Mkuuwa kambi rasmi ya upinzani bungeni aliandika memo ambayo imeambatishwa kwa Mwigulunchemba, inasomeka kama inavyoonekana hapa chini:- Mh. MWIGULU (MB) - Ni dola ngapi umechangia...
  9. MAMA POROJO

    Mazishi ya marehemu Yohana Mpinga aliyekufa Ndago - Singida yafanyika

    Mazishi ya marehemu Yohana mpinga aliyeuawa na vijana wanaodaiwa kuwa wafuasi wa CHADEMA yanafanyika hivi punde katika kitongoji cha Kibaya kijiji cha Songambele kata ya Ndago wilaya ya Iramba. Mkuu wa mkoa, naibu katibu mkuu CCM tanzania bara john Chiligati na mbunge wa Iramba Mwigulu Nchemba...
  10. MAMA POROJO

    Hali si swari mkutano wa CHADEMA kata ya Ndago (Singida); watu 2 wafariki

    mods niko ndago msifute ni kweli. wabunge wa chadema walifika saa 8.30 mchana huu lakini fujo na kuendelea kati ya mashabiki wa ccm na chadema watu wawili nimeona wamekufa na wengine kujeruhiwa kwa mawe. hali si shwari nitaleta taarifa zaidi baadaye natumia simu KWENYE MKUTANO KUNA JOHN...
  11. MAMA POROJO

    Wamiliki wa viwanda vya nguo wanamshinikiza waziri wa fedha kuwafutia kodi

    WAMILIKI WA VIWANDA VYA NGUO WANAMSHINIKIZA WAZIRI WA FEDHA DR MGIMWA AFUTE VAT KWA BIDHAA ZAO KWA KISINGIZIO CHA KULINDA VIWANDA VYA NDANI. HILI LIKIFANIKIWA LITAPUNGUZA MAPATO YA SERIKALI, NA BAYA ZAIDI TANZANIA ITAINGIA MGOGORO MKUBWA NA NCHI ZINGINE ZA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI. SHINIKIZO...
  12. MAMA POROJO

    Wabunge someni vizuri, serikali haijafuta kodi ya bodaboda imepunguza

    Wabunge kwa kutosoma vizuri bajeti wanaipongeza serikali kwa kufuta kodi ya bod boda wakati si kweli. Kodi ya mapato kwa bodaboda imeshuka toka 95,000/= mpaka 35,000/= kwa mwaka na si kufutwa. Upotoshaji huu utaigombanisha serikali na bodaboda baada ya bajeti. My take: kitendo cha serikali...
  13. MAMA POROJO

    Harambee au rushwa kwa jamii toka kwa mafisadi?

    Waaziri mkuu aliyetuhumiwa kwa kashfa ya Richmond, Edward Lowassa akimshika mkono mwakilishi wa kampuni ya Home Shopping Centre, Madiha al Harthy baada ya kutoa mchango wa shilingi 22,000,000. Kinachogomba si kutoa au kutotoa. Je wahusika wanalipa kodi vilivyo? Je kwanini akina Lowassa hawataki...
  14. MAMA POROJO

    Maswa wagomea Mkoa Mpya Wa Simiyu

    source: kwanzajamii WANANCHI wa wilaya ya Maswa katika mkoa mpya wa Simiyu wamemtaka Rais Jakaya Kikwete kuiondoa wilaya hiyo katika mkoa huo mpya ili wabaki katika mkoa wa zamani wa Shinyanga kwa madai kuwa hawakubaliani na uamuzi wa makao makuu ya mkoa huo kupelekwa wilayani Bariadi...
  15. MAMA POROJO

    Mchanga kwenye Figo

    Kuna aina yoyote ya chakula kinachoweza kuzuia mchanga kukaa kwenye figo, na ni dawa gani inaweza kutumika kuondoa mchanga huo au hadi upasuaji ufanyike?
  16. MAMA POROJO

    Msimamo wa CCM kuhusu tuhuma za kuhusika na mauaji ya wana-CHADEMA

    MSIMAMO WA CCM KUHUSU TUHUMA ZA KUHUSIKA NA MAUAJI YA WANACHADEMA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Hivi karibuni chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kilielezea kile ilichoeleza kuwa ni kutishwa na wimbi la mauaji yanayotishia amani ya nchi kikidai kuwa jumla ya wanachama wake...
  17. MAMA POROJO

    Ndoa ya chadema na sabodo si mtihani tosha kwa upinzani?

    source: mpayukaji.blogspot.com Hakuna ubishi kuwa ndoa ya anayeitwa mfanyabiashara maarufu kwa jina la Mustafa Sabodo imeshika kasi. Kwa wanaojua jamaa zetu hawa walivyoletwa na kuchuma, anahofia usafi wa huyu jamaa anayesifika kutumia jina la marehem Mwalimu Julius Nyerere kujinufaisha...
  18. MAMA POROJO

    Mauaji ya watanzania wenzetu yanafanywa na nani?

    Gazeti na Tanzania Daima la Tarehe 30 Aprili, 2012 liliandika kwamba wafuasi wa CHADEMA 15 wameuawa . Habari hii inaungana na kauli ya JOHN Mnyika kwamba wafuasi 15 wa Chadema wameuawa. Madai haya yanatisha kwa sababu CCM imetawala muda wote tangu uhuru hatujasikia kuwa ni chama cha...
  19. MAMA POROJO

    Sabodo anaisaidia au anaiogopa chadema?

    Tangu Sabodo alipoanza kumwaga fedha CHADEMA kumekuwepo na makundi mawili yanayopingana wale wanaosema msaada huo unaonyesha kwamba Sabodo ni mzalendo na wale ambao wanasema Sabodo anajiandalia mazingira mazuri kwa kucheza karata zake vema endapo CHADEMA wanakamata dola. Mara nyingi...
  20. MAMA POROJO

    Nimemuona Ngereja bungeni hivi sasa; tumedanganywa yuko Malawi na rais

    picha za Rais na Ngeleja wakiwa malawi zimesambazwa hapa na kuibua mjadala mkubwa. Jf tuwe makini kuleta hapa habari za uongo? Ni kweli ngeleja kaonekana kwenye picha akiwa na Rais lakini inaonyesha picha hiyo ilipigwa wakati Rais anaondoka Nyerere airport Darb es salaam ikiwepo pia Mkuu wa...
Back
Top Bottom