Harambee au rushwa kwa jamii toka kwa mafisadi?

MAMA POROJO

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
4,974
785
6.JPG




Waaziri mkuu aliyetuhumiwa kwa kashfa ya Richmond, Edward Lowassa akimshika mkono mwakilishi wa kampuni ya Home Shopping Centre, Madiha al Harthy baada ya kutoa mchango wa shilingi 22,000,000. Kinachogomba si kutoa au kutotoa. Je wahusika wanalipa kodi vilivyo? Je kwanini akina Lowassa hawataki kuacha mambo yanayotuhujumu kama kupokea malipo ya ustaafu wakati hakustaafu? Kwanini tumeligeuza taifa letu kuwa la harambee.

SOURCE: mpayukaji.blogspot.com
 
yaani jamani mie ningepewa rungu la kuwashugullikia hawa washenzi,siju hata ningewafanyaje!!!ila Mungu anayaona yote.na watalipa hapahapa duniani.ngoja sie tuumie maana zamu yao ikifika watajuta kuzaliwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom