Nani atatosha kuwa Waziri wetu wa Fedha baada ya kifo cha Dk. Mgimwa?

MAMA POROJO

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
4,974
785
Baada ya kifo cha Waziri wa fedha Dk. william mgimwa mengi yamesemwa ndani na nje ya jukwaa letu la JF. Kwa wastani threads nyingi zimeonyesha kuwa wengi wamehuzunishwa na kifo chake jambo linaloonyesha kuwa Marehemu alitimiza wajibu wake.

Hata hivyo tumesahau wajibu wetu wa kutoa maoni yetu juu ya mtanzania atakayeweza kutosha kuziba pengo lake bila kujali kuwa Mtanzania huyo atatoka bungeni (bunge) au nje ya bunge (asiye bunge) ambaye akitosha atateuliwa kuwa bunge. Tushiriki kutabiri/kubashiri kama watanzania si kama watoa maamuzi.

Wengi wetu tutapenda kufanya dhihaka/mzaha au kuipuuza thread hii. Taifa hili ni letu sote ubashiri wetu hapa JF kama utakuwa makini unaweza kushabihiana na watoa maamuzi ndilo tunalojaribu kulifanya hapa. Tunataka kuona kama tunaowawazia ndio watakaochukua mikoba ya Mgimwa?
 
Swali hili ni gumu mno, ni kweli watz wenye sifa wapo lakini kwa nafasi hii nyeti ya waziri wa fedha kuna haja ya kutafakari kwa makini sana. kwa upande wangu naibu waziri sada mkuya anafaa kupewa nafasi hiyo

angalau uko serous unaonyesha kuwajibika/kujali. nami namkubari huyo mama. Elimu ya huyu mama ikoje?
 
Huyu Mwanamama Sada Mkuya ambaye ndiye Naibu Waziri wa Fedha anafaa kuongoza wizara hiyo.

Kuna semina tulifundishwa wingi wa ubongo katika kichwa cha mwandamu unatofautiana kati ya mwanamke na mwanaume. Mwanaume ana ubonge mwingi zaidi.......utakuwa umenielewa
 
malingotini hakukau kipindi hiki hiyo jam ni kama ya ubungo kimara
 
Kumbe kazi ya uteuzi ni ngumu kuna wengine wanashindwa hata kujaribu kuteua kupitia JF.
 
Back
Top Bottom