Search results

  1. Anyisile Obheli

    Wabunge wa CCM wamegeuka mawakalà!

    Ukihiyo wa wabunge wa CCM umelifanya Bunge kukosa radha ya Moja ya Mhimili Muhimu kwa Nchi na kukosa Sifa ya Chombo cha Wananchi badala yake limekuwa kundi la wanasiasa wenye sura ya kihuni na hivyo kuharamisha Bunge kwa sababu wapo kwa maslahi ya Chama na Serikali na si maslahi Nchina wananchi...
  2. Anyisile Obheli

    Ndugai ujeuri wake umemwangamiza mwenyewe!!

    Ukumbile Ikina ikitali uje kwingila juughwe Mzee Ndugai, tukubhakana loli 😅 Wakati Mwingine ukiishi kwa uaminifu mwingi mitandaoni hukosi la kujifunza. Hivyo hata vyeo vyenu mngetathimini kwa kuangalia Jamii inayowazunguka inawatazamaje?? Hata Mama Samia H Suluhu Hana budi kuongeza jicho la...
  3. Anyisile Obheli

    Dubai

    Moja ya maeneo fulani fulani katika jiji la Dubai
  4. Anyisile Obheli

    Jeshi la Polisi lijitathimini na namna ya kukabiliana mambo

    Katika kumbukumbu zangu Iliwahi kutokea hii mnamo mwaka 1999 Mkoani Mbeya pale shule za Meta na Sangu zote kwa pamoja wanafunzi waliandamana mpaka kwa Mkuu wa Mkoa wakipinga shule hizo kubadirishana wakuu wa shule Sangu wakitaka Mwl Mwankinga abaki pale pale na Meta pia hawakutaka mkuu wao...
  5. Anyisile Obheli

    R.I.P Holice Kolimba, Bado nakukumbuka kwa kauli yako.

    R.I.P Holice Kolimba, Ile CCM uliyosema "Imepoteza dira" siku chache kabla ya kifo chako......... Hivi sasa haisomeki kabisa, hata imelipatia tifa viongozi wasio na sifa, wengine wanadaiwa kughushi mpaka vyeti, Wala hawaji hata hadharani kukanusha kwa kuleta vyeti vyao halali ili kuuzika...
  6. Anyisile Obheli

    Jeshi la Polisi.

    wadau ni lini jeshi hili POLISI litarejeshwa kwa wananchi ambao ndiyo waajili wao kupitia idara ya ulinzi na usalama wa raia na mali zao ili nalo lipate heshima? Likaondokana na hii sura ya sasa ya kuwa Jeshi la kulinda viongozi wadhalimu na kupiga raia hovyo
  7. Anyisile Obheli

    Itikadi yeyote bila kuwa na Elimu nayo ni Upumbavu

    Ukweli ni kwamba Itikadi za siasa zimekula uwezo wa kufikiri wa Vijana wasomi wengi sasa wamekuwa mapoza na wasio na faida kwa Taifa hasa kwa kuwa kila jambo kwao hutanguliza itikadi ya vyama vyao kisiasa wanapotakiwa kutoa maoni na kutafuta suluhisho! Ni Mtazamo tu.
  8. Anyisile Obheli

    LINITATIZALO TANGU ZAMA....yupo mwenye jibu mwanana?????

    Wayebusi hodi naja, Waperizi sichukie, Mkaananii kwako naja, Nawe Kushi unisikie, Mwamori andaa hoja, Nzuri na nizisikie, Ramadhani ni mfungo ama mwabadiri kula. Nauliza tangu zama, majibu sijayapata, Nisijeleta dhahama, na jibu kutopata, Angalizo la mapema, kwa wale wenye utata, Ramadhani ni...
  9. Anyisile Obheli

    Bungeni viroja vitasikika!!!!

    tasunyata kama kinda, ni spika wetu makinda, sheria sasa zamdinda, na hoja anazisunda. wengi tumeshuhudia, kwanza kilipowadia, hasira kukusudia, leo nimeshuhudia. bunge limekosa spika, viroja vitasikika, aibu itawashuka, kutuletea gebuka. mengi tuliyoyahisi, tutayasikia sisi, makinda...
  10. Anyisile Obheli

    CUF ni Laptop ya CCM bungeni

    Cuf sasa ni kama lap top ya ccm bungeni itakayotumika kupitishia hoja zake mbofu mbofu juu ya mstakabari wa taifa, kwa kweli cuf sasa hawawezi kupindua mbele ya ccm ambayo ni kama mume wa cuf kwa sasa, maana viongozi wote wa CUF wameajiriwa na serikali ya ccm...
  11. Anyisile Obheli

    Je pombe maana yake nini na faida zake ni zipi?

    TUJADIRI HIZI NI BAADHI YA HASARA ZAKE 1.) VURUGU 2.) UTUMIAJI MBOVU WA FEDHA 3.) UZINIFU 4.) AJILI 5.) INAKUTENGA NA MUNGU 6.) MAGONJWA eg Kama ya figo na mapafu pia moyo 7.) HUARIBU UTU 9.) MAJUTO 10.)........... 11.).................
  12. Anyisile Obheli

    Elections 2010 Nini tofauti ya utawala wa CCM, na utawala wa Rais Mugabe?

    Nisaidieni nahitaji kujua tofauti kati ya utawala wa CCM kwa TZ na utawala wa Rais wa Zimbabwe R Mugabe
  13. Anyisile Obheli

    Elections 2010 Haki ina thamani kuliko Damu yangu

    ni heri kuimwaga damu kuliko kukubari kupolwa haki maana haki ni heshima ya utu wa mtu, unapo nyang'nywa haki na kukubari kunyang'anywa, huna tofauti na mwanaume aliyeuvua uwanaume wake kwa mwanaume mwenziye
  14. Anyisile Obheli

    Elections 2010 CCM imeyabaka matokeo kote nchini

    kwa mfumo huu ni wazi kuwa CCM, NEC, na taasisi zake vimefanya ubakaji kwa kuyasasambula matokeo ya wabunge na uraisi ili kumpa nafasi Kikwete na kundi lake la mafisa kuhakikisha kuwa wanaendelea kulawiti mali za umma, huku wakiwalazimisha watanganyika wote wasomo na waelewa kuonekana kuwa ni...
  15. Anyisile Obheli

    Elections 2010 Kikwete sasa kuwa chaguo la mabomu ya machozi na chaguo la NEC

    Kwa jinsi mwenendo mzima unavyokwenda wa swala zima la kuhesabu kura kufuatia uchaguzi mkuu wa wabunge, madiwani na Urais, Tanzania itaongozwa na raisi aliyepatikana kwa nguvu ya dora na hujuma
  16. Anyisile Obheli

    Elections 2010 Kusudi la barua hii!!

    Nawapenda sana nyote, na upendo wangu kwenu utazidi sana mkitumia busara na hekima kumpeleka Dr Slaa ikulu ili kuiongoza nchi hii na kuisaidia kiMaendeleo na kujenga utu wa Mtanzania wenye heshima .!!!!
  17. Anyisile Obheli

    Kwa kuwa sina imani na jeshi letu sijui????

    Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limemkamata na kumfikisha Mahakamani mfanya biashara mmoja ayetoa taarifa za uongo kuwa katika eneo la Tunduma mpakani mwa Tanzania na Zambia kulikua na gari lililobeba nyaraka bandia na masanduku ya kupigia kura wakati huu wa kampeni za uchaguzi Mkuu wa Rais...
  18. Anyisile Obheli

    Elections 2010 Hebu angalia hapa, je hawa wana akili?

    hebu chekini hii
Back
Top Bottom