Ndugai ujeuri wake umemwangamiza mwenyewe!!

Anyisile Obheli

JF-Expert Member
Dec 13, 2009
3,398
319
Ukumbile Ikina ikitali uje kwingila juughwe Mzee Ndugai, tukubhakana loli 😅

Wakati Mwingine ukiishi kwa uaminifu mwingi mitandaoni hukosi la kujifunza. Hivyo hata vyeo vyenu mngetathimini kwa kuangalia Jamii inayowazunguka inawatazamaje??

Hata Mama Samia H Suluhu

Hana budi kuongeza jicho la tatu ninayo Imani walio upande wake katika hili wote ni wahuni si kweli eti wanamsaidia kuitikia kibwagizo Cha "Taarabu" yake Juu ya Madai yako katika Mikopo; ila wanafanya vile si kwa mapenzi ya Taifa na maslahi mapana ya Nchi bali ni Moja tu ya njia za kutafuta kujihakikishia upatikanaji wa Uhitaji wa mambo yao ya tumboni.

Wakati Mwingine tunasema maisha ya Mtu ni watu hivyo Ukiwatenda vibaya wengine fahamu wapo wengine watakutenda vibaya wewe!

Katika Taifa lenye kufuata Utawala wa haki na sheria Unaweza kuwa ulikuwa sahihi ingawa Pengine njia uliyoitumia baada ya kupata mafunuo nje Ule "uhovyo hovyo" wenu wa pale Mjengoni Dodoma wa kupitisha mambo hata ya hovyo kwa kudhani mlikuwa mnawakomoa wasio Upande wenu ndiyo unaokutafuna katika hili.

Lakini twende mbele turudi nyuma pia kama Jamii nadhani tutakuwa Wanafiki ikiwa tutarahamisha UKWELI aliousema tusiyempenda na kuhalalisha UONGO eti kisa Umesimamiwa na KIONGOZI, Mkuu wa Nchi hapana

Ni Ukweli usiopingika kwamba Madai ya NDUGAI yanapaswa kuangaliwa kwa jicho la ndani Ili tuweze kujipa nafasi ya kupima mambo kwa njia ya HAKI.

Watanzania wengi hasa vijana tunayachukulia mambo mazito kishabiki na kikereketwa, pasi na kufahamu kuwa haya yamebeba kesho yetu Kitaifa, Kijamii. Hivyo sisi kama Taifa la kesho kama ilivyozoeleka kutamkwa

Ilitupasa tusilikuze hili kwa mitazamo ya Ushabiki bali tusimame sehemu sahihi kabisa pasi na kupepesa Jicho ama kuegamia upande mmoja kwa sababu ya maslahi ya tumbo na ibinafsi wetu wa rohoni.

Mimi naweza kusema Mama yetu Samia H Suluhu ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amejibu madai ya Ndugai kwa Jazba nyingi, Maumivu makubwa hisia Kali jambo ambalo pia linazaa maswali mengi Sana.

Yeye kama Mama na Kiongozi Mkuu kitaifa bado alikuwa na namna ingine tu ya kulisemea jambo lile mbali kidogo na ile namna aliyoitumia ambayo kwa namna Moja ama ingine pia ilikuwa na upungufu wa viungo kuifanya ni kauli za Kiongozi Mkuu wa Taifa.

Anyway,

Acha maisha yaendelee

IMG_2i7y9j.jpg
 
View attachment 2072040
Shida yako unamhurumia Job ila haulihurumii taifa, ama nawe ni mmoja was mliosinamia kauli yake ya mikopo pekee, ila hata historian ya utendaji wake wala hukuwahi kuhangaika nao
.
 
Alishupaza shingo akatenda maovu.
 
Shida yako unamhurumia Job ila haulihurumii taifa, ama nawe ni mmoja was mliosinamia kauli yake ya mikopo pekee, ila hata historian ya utendaji wake wala hukuwahi kuhangaika nao
.
Inawezekana japo Sina hakika na hilo anyway sidharau mawazo yako
 
Back
Top Bottom