Search results

  1. PRECIOUSDOE

    Mtoto sio wake

    Wana jamii, Ndugu yangu amekuwa akimlea mtoto msichana aliye fikiri ni wake ,mtoto anaishi na nyanya yake lakini ndugu yangu humtembelea mara kwa mara na humlipia fees, medical na mambo mengine financial support.Juzi akaelezwa kwamba mama ya yule mtoto amewambia wanaume wengine watatu eti mtoto...
  2. PRECIOUSDOE

    Nihusiane aje na huyu dada

    Wakuu baada ya muda mrefu nimerudi Jamii forums na leo tena nataka munisaidie na mawazo kuhusu yule dada ambaye niliwaeleza kwamba alikuwa ana double deal kisha ilipowadia wakati wa kuolewa aliyekuwa spare akafariki mwezi mmoja kabla ya harusi ya huyu dada.Huyu dada sasa ameolewa na amerudi back...
  3. PRECIOUSDOE

    Should i attend this wedding

    Kuna rafiki ambaye at one tym alinisaidia na makao kwa muda wa mwezi moja and I feel indebted to her for how she assisted me.Anaolewa next month lakini as much as I want to be there circumstances surrounding the whole thing is making me think twice. Nimemjua sasa for almost a year- kwa wakati...
  4. PRECIOUSDOE

    How to convince your man to get circumcised

    I wonder unawezaje approach your lover who is over 25 apate kutahiriwa?Unaanzia wapi hadi aingie box ya kwenda hospitali to face the knife? Wakuu please advice.
  5. PRECIOUSDOE

    Older Woman Younger Man Can it Work

    Wana JF inawezekana mapenzi kati ya mwanamke aliyemzidi umri mwanaume kwa miak mitano kufaulu?Why or Why Not?
  6. PRECIOUSDOE

    Why are married men more hungry than single ones

    Wenzangu recently tulikuwa tuna discuss wanaume tunaofanya kazi nao na inaonekana kwamba wale ambao wamesha oa ndiyo husumbua warembo ofisini sana tena hata mukienda trip official na mwanamume single utakuwa kwa safe hands but married atakusumbua sana akitaka mfanye kazi ya ziada if u know wot I...
  7. PRECIOUSDOE

    Pornography:is it good

    Wenzangu juzi mwenzangu akaniambia eti mumewe huwa analeta movie za porno waone kabla waelekee bedroom.yeye alisema kweli zinamleta juu kiasi ambacho mumewe kwa kawaida hawezi, tena haraka mno lakini nafsi yake inamhukumu anafanya maovu.Wenzagu munaonaje pornography ku enhance sex life kwenye...
  8. PRECIOUSDOE

    Jirani ananiamsha usiku

    Jirani yangu ambaye anaishi gorofa moja juu yangu kila wakati akifanya mapenzi huwa ananiamsha kwa sababu kitanda chake kina piga kelele sana.Tena huwa ni katkati ya usiku kuanzia 1am to 3am.Hii ina affect usingizi na kupumzika kwangu kiasi nina uchovu the next day.Ninaweza kumu approach kivipi...
  9. PRECIOUSDOE

    why are 99% of men quiet during sex

    Nimesikia wanaume wakilalamika kuhusu wanawake na kutotoa manuguniko ya kimahaba but the worst culprits ni hao hao wanaume.Wengine ni kama mizoga - hata hapumui - hata akifika ukingoni ni macho tuu huwa yanakuwa makubwa kama mtu ameona jini lakini - no sound effects -vipi mabrother ?Mbona hivi?
  10. PRECIOUSDOE

    Married ex

    Recently rafiki yangu amepigwa transfer akaenda town kwenye her first bf of 3yrs lives. She is single, he is married with one kid.Huyu rafiki yangu anampenda huyu bwana and infact husema this was her best boyfriend he was very romantic and loving. Hawaja onana kimwili since at that time...
  11. PRECIOUSDOE

    My sis to elope coz of parents

    Wenzangu dadangu mdogo anataka ku elope na boyfriend because she is fed up with my parents.She has been complaining that even though she is in college my parents are controlling her too much yet she is a good student and obedient.Anasema kuwa hawezi ku feel at home because akipatwa akiangalia TV...
  12. PRECIOUSDOE

    Masaibu ya mabossi

    Recently nimepata promotion nikakwenda department nyingine.Aliyekuwa bossi wangu ambaye nilimuheshimu sana kama baba yangu akanipigia simu akiniambia twende lunch.Tulipoenda lunch akanieleza kwamba tangu mwanzo miaka minne iliyo pita amekuwa akinitamani lakini kwa sababu alikuwa direct boss...
  13. PRECIOUSDOE

    Struggling To Abstain

    Mume wangu amekuwa akifanya kazi USA ,nimekuwa nikiwa na haja sana siku zangu za Ovulation.Sijui nifanye nini ilinisimsaliti because niko hot sana siku hizo nakuwa outgoing sana na nina flirt sana hata bila kujua ninavyo fanya tena ninajisikia sana kuva seductively na kuongea kuhusu...
  14. PRECIOUSDOE

    Diva Mentality

    Leo ninataka kuileta mada ya jinsi wanawake huwa wanakuwa madiva wanapopewa cheo kazini ama kukuwa celeb in the music,media or business world.Nimewasikia wanaume wengi wakicomplain bibi amekuwa kichwa ngumu anapopata pesa zaidi ya mumewa kazini ama kwa biashara anayo fanya. My own personal...
  15. PRECIOUSDOE

    Collegue at work out of control

    Nahitaji mawazo how to deal with a male collegue Ive been working with for 5 years.He is married with 2 kids.Wa mwisho anamiezi michache yule mwingine ananza skuli.Bibi ni housewife.Huyu mwenzangu tumekaa kwenye desk moja throughout.Tuliingia job na yeye. Shida imeanza ambapo alianza kusoma...
  16. PRECIOUSDOE

    Men/Women who chunga their spouse

    Rafiki yangu mama moja ambaye ameenda retire alipatwa na masaibu baada ya kumpigia one of her former male collegue young enough to be her son akitafuta biashara.Alipoenda yule jamaa jioni home bibi akaona kwenye simu ya yule bwana call kutoka jina na mwanamke.Akaanza kumpigia yule mama simu...
  17. PRECIOUSDOE

    Which is better: Single or Unhappily Married?

    Tangu utotoni nimeambiwa the ultimate goal for a woman ni kuolewa. Kusema kweli nilikuwa natamani ku-meet Mr Right and walking down the isle but what I've seen around me has made me wonder if marriage is for me. Sitaki kuingia kwa maisha ya majonzi na majuto like most married women I know...
Back
Top Bottom