PRECIOUSDOE
Senior Member
- Feb 3, 2009
- 114
- 12
Recently nimepata promotion nikakwenda department nyingine.Aliyekuwa bossi wangu ambaye
nilimuheshimu sana kama baba yangu akanipigia simu akiniambia twende lunch.Tulipoenda lunch akanieleza kwamba tangu mwanzo miaka minne iliyo pita amekuwa akinitamani lakini kwa sababu alikuwa direct boss wangu hangeweza nieleza eti amekuwa akivumilia tuu lakini nilipotoka chini yake hawezi akanificha tena eti alikuwa amebeba mzigo mzito.Niliudhika sana kwa sababu nilivyo mheshimu huyu mtu.
Yaani nilikuwa ninarelate naye kama baba so nikahisi nikama baba yangu anataka mapenzi.
Huyu mtu ni mkuu wangu miaka ishirini ana bibi na watoto,na pia mimi nimeolewa.
Yote hayo anayajua.Sikuweza hata mwambia chochote kwa sababu ya aibu niliyo iskia nilitoka nikaenda zangu na nimekuwa nikimu avoid.Kwenye kazi yangu mpya tunafanya kazi pamoja lakini sio kama bossi
na mdogo wake, lakini tukienda meeting huwa ninasikia vibaya sana because nilikuwa nimemweka
above such behaviour from experience yangu njema ya kufanya kazi vyema sana naye.Sasa haya
yote yametoka wapi?Hebu neleze vile nita mhandle kwa sababu sitaki hata kidogo kumwona huyu
bwana.