Nihusiane aje na huyu dada

PRECIOUSDOE

Senior Member
Feb 3, 2009
114
12
Wakuu baada ya muda mrefu nimerudi Jamii forums na leo tena nataka munisaidie na mawazo kuhusu yule dada ambaye niliwaeleza kwamba alikuwa ana double deal kisha ilipowadia wakati wa kuolewa aliyekuwa spare akafariki mwezi mmoja kabla ya harusi ya huyu dada.Huyu dada sasa ameolewa na amerudi back to normal life.Mumewa anafanya kazi mbali naye tena aliyokuwa akitembea nao walikuwa close sana na marehemu na wamemhepa.Amekuwa lonely sana na ameanza kujaribu kuwa close na mimi lakini mimi mambo yale yaliotokea hapo awali bado huwa yana nikera.Najipata namhepa because kusema kweli sidhani ni mtu mwaminifu wa kuwa rafiki wa karibu ingawaje wakati mmoja alinisaidia na makao kwa muda wa mwezi mmoja.Tafadhali nipe advice nita relate vipi na huyu dada kwa sababu am not comfortable kuwa close naye hata kama ananikaribia sana kutokana na upweke anaoupitia sasa.
 
Kwa kuwa tayari umeishamjua tabia aliyonayo i think you'd rather stay away from her, upole ulionao juu yake na mambo ambayo ameishakufanyia you never know, Je? Ikitokea akatembea na bwana yako itakuwaje...think about.
 
We are human beings. Rafiki yako alichofanya hakikiuwa kitendo cha kibinadamu, lakini maisha lazima yaende. Alichofanya huyo wengi sana yanawatokea, ila inategemewa mtendewa anakifua gani.
My take, usimtenge, msaidie awe binadamu yule aliyeumbwa na Mungu amtumikie yeye, shetani aliyepo ndani yake atoke. Mshauri ili asijekuwa amemuweka mwingine pembeni na mumewe.
 
Back
Top Bottom