Kwani CDM walikwenda kukamata wezi kama wanakamata kuku?Mtakula vichapo msipotumia nguvu na akili mimi nilitegemea nitasikia wala rushwa wamepigwa na kulazwa sasa eti mkamata rushwa ndio kapigwa huo ni usen.ge wao.
Nashkuru kunipa mbinu stahiki ya kufanya maana nilikuwa nimeazimia kutonunua tena kazi za wasanii wetu hapa nchini hasa hao waliojinga na majambazi ya taifa hili sasa kazi ilikuwa nazifanyaje hizi ambazo ninazo?Nazitia moto sasa hivi,na nimarufuku mtu yoyote kukuta anaangalia movi aliopo hata...
wanalindwa kuliko rais alafu wameuwawa je umefuatilia kama rais yuko hai?kama yuko basi anayemlinda raisi ndiye aliyeua faru vinginevyo aliyeua faru ni raisi mwenyewe
Huyo mkuu wa mkoa aliupata kwasababu ya kuuza sehemu anazozimiliki ndio maana haoni kama wananchi wanapomfuata yeye ni kwamba wamekwama walikotoka..Ndio unafiki wa Ccm wa miaka yote ni juu yenu kum mabina ili iwe fundisho kwa vibwengo wengine wa aina yake
Ukiwa na govi kila siku utaamini kila mwanamume anagovi kama wewe maana hutajua kama wametahiriwa kutokana kila mtu kuvaa nguo hivyo mkuu hayo mawazo yako ni kwasababu unagovi la mawazo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.