Jambazi lau OCD CID Newala,askari mmoja na raia

LOOOK

JF-Expert Member
May 17, 2011
3,389
672
Kuna jambazi limesababisha mauaji ya mkuu wa upelelezi na na skari mmoja pamoja na raia mmoja huku askari mwingine akiwa amejeruhiwa viabaya kifuani,jambazi hilo lilikuwa lina nunua mafuta katika kituo cha mafuta na baadae likageuza kibao na kupora hiling mil 3 pamoja na kusababisah na mauaji hayo.
 
hao askari walikuwa wanafanya nini....? Hebu lete habari vizuri....
 
Kamanda wa polisi mkoa wa Mtwara Zelothe Steven amethibitisha kuuawa kwa OC CID wa wilaya ya Newala,askari mmoja na raia mmoja.
Afisa huyo alikutwa na mkasa huo wakati akiwa na askari wenzie katika harakati za kumfuatilia jambazi aliyepora takriban shillingi millioni tatu kwenye kituo cha mafuta.
 
Kuna jambazi limesababisha mauaji ya mkuu wa upelelezi na na skari mmoja pamoja na raia mmoja huku askari mwingine akiwa amejeruhiwa viabaya kifuani,jambazi hilo lilikuwa lina nunua mafuta katika kituo cha mafuta na baadae likageuza kibao na kupora hiling mil 3 pamoja na kusababisah na mauaji hayo.

Kirobotokiroboto unakimbizwa na nini? Kwanini usitulie na kuleta taarifa kamili hapa jamvini ili watu wakuelewe?

Jambazi hilo limesababisha mauaji wapi????

Mauaji hayo yamefanyika lini???? Na wakati gani????

Huyo mkuu wa upelelezi aliye uawa ni nani????

Na nini chanzo chako cha cha uhakika wa habari hiyo????

Tafadhari jipange kisha huu uzi uulete upya ukiwa umekamilika.
 
Kamanda wa polisi mkoa wa Mtwara Zelothe Steven amethibitisha kuuawa kwa OCDCID wa wilaya ya Newala,askari mmoja na raia mmoja.
Afisa huyo alikutwa na mkasa huo wakati akiwa na askari wenzie katika harakati za kumfuatilia jambazi aliyepora takriban shillingi millioni tatu kwenye kituo cha mafuta.

vipi walidhulumiana nini manake hawa watu bana.....
 
RIP OCD CID embu tuwekee nyama nyama basi manake haitoshi ilikuwaje viongozi wa juu kiasi hicho wamelizwe hivi hivi
 
Intelijensia ya polisi wetu, utaona hata kwenye matukio ya kutawanya watu kwa mabomu huwa wanawalenga raia badala ya kupiga juu.
 
3ml uhai umeondoka. Extend this spirit kwenye usalama wa raia. r.i.p mashujaa
 
Kamanda wa polisi mkoa wa Mtwara Zelothe Steven amethibitisha kuuawa kwa OCDCID wa wilaya ya Newala,askari mmoja na raia mmoja.
Afisa huyo alikutwa na mkasa huo wakati akiwa na askari wenzie katika harakati za kumfuatilia jambazi aliyepora takriban shillingi millioni tatu kwenye kituo cha mafuta.
rekebisha kidogo mkuu, ni OC CID, si OCD CID, Apumzike kwa amani,
 
acha kudanganya watu officer commender of district aende kugombana na jambazi kweli kabisa japo sijui mambo ya jeshi lakini uongo wa kutunga labda kunamazingira mengine
halafu mimi ninavyojua hakuna cheo cha OCDCID duniani hapa
weka source please
 
Back
Top Bottom