Mapya Mgogoro wa Madiwani na Meya Bukoba (VIDEO) Serikali yashindwa kila kitu.

Mathias Byabato

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,020
691
Tazama hii video,imerekodiwa leo na wadau ,mkuu wa mkoa ametoa taarifa rasmi kwamba bajeti ya manispaa ya bukoba ya mwaka 2014 haitakuwepo.kwamba kikao cha 'kuwabembeleza ' madiwani ili wapitishe bajeti kimeambulia patupu.Ameshindwa,kwamba anasubiri miujiza. Tazama mwenyewe.

 
Last edited by a moderator:
RC masawe ni kibaraka wa Meya,alishavuta mpunga.

kwa nini hasishawishi CAG akawasilisha ripoti yake? kwa nini hasikubali Meya akaa pembeni kwa siku moja wakapitisha bajeti?.majibu ya maswali haya utaelewa RC yuko upande gani.
 
Chadema wanahusikaje na mgogoro wa madiwani wa ccm?This is nonsense

Wana Bukoba achene hizo za kuchagua MACCM waliotanguliza umimi na uzandiki wa kucheza akili za wananchi kwa kuwanyima maendeleo kama madiwani hawawatangulizi wananchi kwa nini wananchi wasiwakatae
 
Back
Top Bottom