Majangili waua tena faru Serengeti, jana usiku!

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
May 24, 2008
10,942
428
Wadau,

Wazee wa kazi aka majangili wamekuja na nguvu mpya. Usiku wa jana wamesha uwa faru Serengeti kusini moru.

Ni juzi tu tumesikia tembo wamekaria kwisha,hatuja kaa vizur wamehamia kwenye faru.

Swali la msingi la kujiuliza: Hawa faru wa Serengeti wa mefungwa transmita kuhakikisha wna wamonita muda wote chini ya ulinzi mkali wa askari wa wanyama pori wakiwa na silaha za kisasa pamoja na magari special pamoja na mahema? Mahema haya hutumika kupiga kambi kila faru anaposogeza hatua na wao wanasogea nao.

Faru hawa wmekuwa wakilindwa zaid ya ikulu kwan askari wa wnyama pori wanapokuw wana shifti yule anaye ingia lindoni wanahakikisha wamewaona faru ndipo wasaini kitabu ndio warusiwe kutoka; kama faru hajaonekna we uliyekuwa unatoka kwenda mapumzikoni huondoki mpaka faru ameonekana.sasa naishauri serikali tuombe nguvu kutoka nje kwn hii imeshavunja rekodi,huko tunako elekea itafka mahali kuna kizaz hakitakuja kuona tembo na faru
 
Wadau,

Wazee wa kazi aka majangili wamekuja na nguvu mpya. Usiku wa jana wamesha uwa faru Serengeti kusini moru.

Ni juzi tu tumesikia tembo wamekaria kwisha,hatuja kaa vizur wamehamia kwenye faru.

Swali la msingi la kujiuliza: Hawa faru wa Serengeti wa mefungwa transmita kuhakikisha wna wamonita muda wote chini ya ulinzi mkali wa askari wa wanyama pori wakiwa na silaha za kisasa pamoja na magari special pamoja na mahema? Mahema haya hutumika kupiga kambi kila faru anaposogeza hatua na wao wanasogea nao.

Faru hawa wmekuwa wakilindwa zaid ya ikulu kwan askari wa wnyama pori wanapokuw wana shifti yule anaye ingia lindoni wanahakikisha wamewaona faru ndipo wasaini kitabu ndio warusiwe kutoka; kama faru hajaonekna we uliyekuwa unatoka kwenda mapumzikoni huondoki mpaka faru ameonekana.
wanalindwa kuliko rais alafu wameuwawa je umefuatilia kama rais yuko hai?kama yuko basi anayemlinda raisi ndiye aliyeua faru vinginevyo aliyeua faru ni raisi mwenyewe
 
Mbona naibu Waziri Nyalandu yupo huko Serengeti na nimemwona akitoa matamko yake au ndo wanampa salam?

Wadau,

Wazee wa kazi aka majangili wamekuja na nguvu mpya. Usiku wa jana wamesha uwa faru Serengeti kusini moru.

Ni juzi tu tumesikia tembo wamekaria kwisha,hatuja kaa vizur wamehamia kwenye faru.

Swali la msingi la kujiuliza: Hawa faru wa Serengeti wa mefungwa transmita kuhakikisha wna wamonita muda wote chini ya ulinzi mkali wa askari wa wanyama pori wakiwa na silaha za kisasa pamoja na magari special pamoja na mahema? Mahema haya hutumika kupiga kambi kila faru anaposogeza hatua na wao wanasogea nao.

Faru hawa wmekuwa wakilindwa zaid ya ikulu kwan askari wa wnyama pori wanapokuw wana shifti yule anaye ingia lindoni wanahakikisha wamewaona faru ndipo wasaini kitabu ndio warusiwe kutoka; kama faru hajaonekna we uliyekuwa unatoka kwenda mapumzikoni huondoki mpaka faru ameonekana.
 
Kinana kuwa na huruma na hii nchi....Kutokuwa Mtanzania kusiwe kigezo cha kutumalizia mali asili zetu..
 
Inasikitisha mnyama mkubwa kama faru na Tembo kusikia wameuwawa hawa wanyama hawakamatwi na mkono kama panzi au kumbikumbi wanauliwa na silaha kubwa je askari wenye mamlaka wanakua wapi?Kama kazi za porin wameshindwa warudishwe mjin ili wakawe mgambo wa jiji
 
Hii ni hatari,mi jukumu la kuwalinda wanyama pori wapewe jwtz na iwe hivyo kisheria pia wapewe mandate ya kudili na yeyote anaehisiwa kuhatarisha maisha ya wild animals.Kama mbwai,mbwai tu
 
Huu ni ufedhuri, naungana na aliyetoa logic kuwa it sounds like the Prezdent himself has his own hands on this fatal elimination of ndovu & etc.
Rais ni mhaini anatakiwa apigwe risasi hadharani afe.
 
Inasikitisha mnyama mkubwa kama faru na Tembo kusikia wameuwawa hawa wanyama hawakamatwi na mkono kama panzi au kumbikumbi wanauliwa na silaha kubwa je askari wenye mamlaka wanakua wapi?Kama kazi za porin wameshindwa warudishwe mjin ili wakawe mgambo wa jiji

Mkuu kwanini wasile kulingana na kamba yao kama mawazir wenyewe ni mafisadi wa kutupwa je sembuse hao askali poli cha kufanya hawa jamaa 2015 tuwapige chini wameshindwa kusimamia mali zetu,peoplez sema power...,!
 
Serikali SIKIVU chini ya Chama MAKINI haijui majangili ni kina nani wako wapi, nani anauwa faru, tembo.
Sasa kama faru anayelindwa kuliko Ikulu anauliwa mbona huyo anayekaa huko Ikulu hauliwi?
Basi kama hauliwi, huyo anayekaa huko Ikulu ndiye anayeuwa hao Faru
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom