Kipi Chuo Kikuu Bora Tanzania??

NATIONAL INSTITUTE OF TRANSPORT..

Kimetoa madereva wengi sana wa boda-boda, wenye mapengo na mangeu... Kule MOI wamemaliza POP zote, vyuma, magongo n.k I am proud of NIT, i think is the best college in Tanzania, because we witnesses its products out!
ndio maana siachi kuwa jf..kaka menibomoa mbavu kiongozi
 
rankingWorld Rank UniversityDet.CountryPresence Rank*Impact Rank*Openness Rank*Excellence Rank*
1381University of Kwazulu Natal
za.png
1370368817549
2390University of Cape Town
za.png
765692751266
3462Stellenbosch University
za.png
451638642448
4696Makerere University
ug.png
635832786854
5719University of the Witwatersrand
za.png
18831360315422
6746University of Pretoria
za.png
5031237341607
7834University of the Western Cape
za.png
290477023711247
81113Obafemi Awolowo University
ng.png
3289717100832156
91191Rhodes University
za.png
1420174713081190
101206Cairo University
eg.png
159024801976653
11
1419University of Dar Es Salaam
tz.png
3546147772861842

Vingine waweza angalia hapa
Africa | Ranking Web of Universities

Dah, UDSM imeshuka safari hii, nakumbuka ilikuwa ya 5 last ranking, Makerere imepanda!!
 
[h=1]Tanzania, United Republic of[/h]
rankingWorld Rank UniversityDet.Presence Rank*Impact Rank*Openness Rank*Excellence Rank*
11419University of Dar Es Salaam 3546147772861842
24769Hubert Kairuki Memorial University 158094262140854440
34852Sokoine University of Agriculture 9547896275842156
45153(1) Muhimbili University of Health and Allied Sciences 1608310579137791570
59357Open University of Tanzania 33541119240004086
69422Tumaini University Iringa University College 2019814074175132344
710911University of Dodoma 1747711398190494440
811183Kilimanjaro Christian Medical College 1893310568182325080
911982Mzumbe University 231111945140425080
1013187Institute of Finance Management 125911320583925080
1113339Saint Augustine University of Tanzania 1660413158121015080
1213561Dar Es Salaam Institute of Technology 1646413416122295080
1313718Ardhi University 1747713539133745080
1413775Mount Meru University 1987813450165965080
1514465International Medical & Technological University 2046614128186905080
1614720Tumaini University Makumira University College 1674614357201015080
1714730Saint John's University of Tanzania 1880014546149765080
1815009Institute of Accountancy Arusha 1980514811165355080
1916258University of Arusha 1794216192149475080
2016310State University of Zanzibar 1643616231160855080
2116522Moshi University College of Co-operative and Business Studies 1958716433155725080
2216625Muslim University of Morogoro 1886516559145085080
2316648Weill Bugando University College of Health Sciences 1890116578142975080
2417114Tumaini University Dar es Salaam College 1929417051152815080
2517319College of Business Education 1867017225177695080
2617424Zanzibar University 1910117397152815080
2717591Teofilo Kisanji University 1751417605126145080
2817626Tanzanian Training Centre for International Health 1960517553164755080
2917964Mwalimu Nyerere Memorial Academy 1902217949153495080
3018050Arusha Technical College 1776118083133455080
3118380Tumaini University Stefano Moshi Memorial University College 1792018398134445080
3220480Sebastian Kolowa Memorial University 1055920474190495080
3321110Tumaini University Institute of Agriculture 1592320918190495080
 
100 university in Africa: Africa | Ranking Web of Universities

No. 11 University of Dar es Salaam
No. 85 Hubert Kairuki Memorial University
No. 88 Sokoine University of Agricuture
No. 95 Muhimbili University of Healthy and Allied Science


Asante kwa kutafuta habari lakini kwa taarifa yako hii ni ubora wa website kwenye search engines na sio ubora wa taaluma. Soma vizuri taarifa unazopata kutoka kwenye websites. Ubora wa elimu na ubora wa website ni vitu sawa mbingu na ardhi.... ver very apart my friend.

Hii pengine itasaidia na narudia tena academically SUA is the best in Tanzania. FULL STOP. Bisha kubali yote sawa.
 
tanzania kwa sasa imesheheni vyuo vikuu vingi, kwa mfano mdogo
kuna mikoa ina vyuo vikuu vitatu na kuendelea. Ni maendeleo mazuri!

Ubora wa elimu unaotolewa katika vyuo tulivyonavyo ukoje na unaendana
na nyakati tulizo nazo???

Kipi kilicho chuo bora kwa tanzania???

veta keko!
 
Tanzania kwa sasa imesheheni vyuo vikuu vingi, kwa mfano mdogo
kuna Mikoa ina vyuo vikuu vitatu na kuendelea. Ni maendeleo mazuri!

Ubora wa Elimu unaotolewa katika vyuo tulivyonavyo ukoje na unaendana
na nyakati tulizo nazo???

Kipi kilicho chuo bora kwa Tanzania???

kiukwel cjaona chuo kinachotoa elim bora bt vip ambavy vinajaribu. Hii ni kwa 7bab wahitim weng wanashindw kuapply ujuz wao
 
Tanzania, United Republic of
rankingWorld Ranksort
descending
UniversityPresence Rank*Impact Rank*Openness Rank*Excellence Rank*
11419University of Dar Es Salaam3546147772861842
24769Hubert Kairuki Memorial University158094262140854440
34852Sokoine University of Agriculture9547896275842156
45153(1) Muhimbili University of Health and Allied Sciences1608310579137791570
59357Open University of Tanzania33541119240004086
69422Tumaini University Iringa University College2019814074175132344
710911University of Dodoma1747711398190494440
811183Kilimanjaro Christian Medical College1893310568182325080
911982Mzumbe University231111945140425080
1013187Institute of Finance Management125911320583925080
1113339Saint Augustine University of Tanzania1660413158121015080
1213561Dar Es Salaam Institute of Technology1646413416122295080
1313718Ardhi University1747713539133745080
1413775Mount Meru University1987813450165965080
1514465International Medical & Technological University2046614128186905080
1614720Tumaini University Makumira University College1674614357201015080
1714730Saint John's University of Tanzania1880014546149765080
1815009Institute of Accountancy Arusha1980514811165355080
1916258University of Arusha1794216192149475080
2016310State University of Zanzibar1643616231160855080
2116522Moshi University College of Co-operative and Business Studies1958716433155725080
2216625Muslim University of Morogoro1886516559145085080
2316648Weill Bugando University College of Health Sciences1890116578142975080
2417114Tumaini University Dar es Salaam College1929417051152815080
2517319College of Business Education1867017225177695080
2617424Zanzibar University 1910117397152815080
2717591Teofilo Kisanji University1751417605126145080
2817626Tanzanian Training Centre for International Health1960517553164755080
2917964Mwalimu Nyerere Memorial Academy1902217949153495080
3018050Arusha Technical College1776118083133455080
3118380Tumaini University Stefano Moshi Memorial University College1792018398134445080
3220480Sebastian Kolowa Memorial University1055920474190495080
3321110Tumaini University Institute of Agriculture1592320918190495080
 
ww ni mbwiga kweli,inawezekana unasoma teku ndo maana unaanzisha rank yako.kizazi cha mulugo hicho

Mimi na wewe ni nani kizazi cha Mulugo?? Angalia ulivyoandika! Hata hujui kuanza jina kwa herufi kubwa!. Na punguza matusi katika mijadala, haijengi!

Kwa taarifa yako, angalia link hii hapa Africa | Ranking Web of Universities na compare ranking ya UDSM ya mwaka jana na mwaka huu!

Pia kumbuka, hujui unamwandikia nani wewe unaanza na matusi, wenzako tulishapiga mashule yetu kitambo tu na hatujioni kama unavyochukulia wewe!!
 
Asante kwa kutafuta habari lakini kwa taarifa yako hii ni ubora wa website kwenye search engines na sio ubora wa taaluma. Soma vizuri taarifa unazopata kutoka kwenye websites. Ubora wa elimu na ubora wa website ni vitu sawa mbingu na ardhi.... ver very apart my friend.

Hii pengine itasaidia na narudia tena academically SUA is the best in Tanzania. FULL STOP. Bisha kubali yote sawa.

Hili ndo tatizo la kuwa biased! Unless otherwise uniambie umesoma vyuo vingapi hapa Tz ili uwe na ulinganifu unao utetea!! Inawezekana umesoma SUA, ndo maana unang'ang'ania hivyo unavyosema! Na waliosoma UDSM, UDOM pia watasema hivyo hivyo!!

Na kumbuka ndugu yangu, enzi zetu, SUA walikuwa wanaenda watu waiokosa nafasi Muhimbili na UDSM! Waliokuwa wanaingia straight SUA na One zao ni watu waliosoma Agriculture!! Kwa sasa hali ni tofauti! Hata wenye One wapo SUA! Zamani mtu wa PCB, Div One aende SUA kufanya nini??? Labda kama kaenda kwa kupenda au ka disco MUCHS aka MUHAS!!

Back to topic - Kwa mtazamo wangu, Vyuo vingi vinatoa Elimu nzuri, kwa Upande wa SUA sina mashaka kabisa, ni chuo chenyE kutoa Elimu bora na kinafanya Tafiti nyingi sana na zenye kuzaa matunda kwa nchi!.

LAKINI HILI LA KUNG'ANG'ANIA KUWA NDO CHUO BORA TANZANIA, UTAKUWA UNAKOSEA SANA!
 
Back
Top Bottom