Green guard wafanya unyama njombe

binam wetu

Member
Sep 11, 2013
52
14
Vijana wa ccm green guard wapatao 20 wamewapiga vibaya viongozi wa chadema na kumvunja taya kamanda kalonga ambaye ni kiongozi wa usalama kanda ya nyanda za juu kusini
Ikumbukwe kuwa kuna uchaguzi wa diwani kata ya njombe mjini .ccm walijifungia ofisi za serikali ya mtaa wakigawana pesa kwa ajilu ya kuhonga wapiga kura
Ndipo viongozi wa chadema walipokwenda kushuhudia kama kweli walipofika tu walipokewa kwa kichapo kikali
Pia kuna askari polisi naye amejeruhiwa vibaya alipita maeneo hayo akivaria mavazi ya kiraia wakazani ni chadema naye kala kichapo .Kalonga amelazwa hosptali ya mkoa njombe .MAOMBI YENU JAMANI MUNGU AMUONDOLEE MAUMIVU. AMINA
 
Kwani CDM walikwenda kukamata wezi kama wanakamata kuku?Mtakula vichapo msipotumia nguvu na akili mimi nilitegemea nitasikia wala rushwa wamepigwa na kulazwa sasa eti mkamata rushwa ndio kapigwa huo ni usen.ge wao.
 
Back
Top Bottom