Picha: Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Kikwete Akabidhi Wasanii Mashuhuri tuu Kadi za kujiunga na CCM

Kweli mleta mada na wanaokushabikia hamjui siasa. Sijawahi kuwaza kuwa siasa zetu tz zitatupelekea kuchukiana eti wewe uko chama fulani mimi kingine hivyo ni maadui kwa kila kitu. Sidhani wasanii kuingia ccm chama kingine wameanza hao au leo! Labda mleta mada na wenzie watuambie kuwa kuingia ccm ndiyo tatizo otherwise atupe sababu nyingine za binafsi kama mwingine alivyosema wamemuangusha yeye kama yeye.

Ni majuzi tu kwenye operation ya m4c pamoja daima tulimuona afande sele akitambulishwa jukwaani lakini sikuona mjadala wowote juu yake, Mh. Mbilinyi alijiunga chadema ili awe mbunge na amepata ubunge ambapo kama angeukosa sugu kwa sasa sijui angekua wapi sioni mjadala.

Ninachotaka kuamini ni kwamba siasa na vyama vyake zinapita ila utaalamu haupiti ndiyo kula ya mtu. Tuache siasa chafu ambazo zilishajaribu kuipeleka zanzibar pabaya kama si jitihada za mabaraza ya redet, prof. Othman na maalim seif tungekukua tunaongea mengine.

Tuache wivu, kijicho na choyo mbaya katika siasa
 
ImageUploadedByJamiiForums1391345482.341025.jpg
 
Si kweli kwamba hao wasanii wanaipenda CCM , ila wanahofia tu wakionekana wanaunga mkono upinzani wataanza kuwekewa mizengwe, hujuma na manyanyaso katika kazi zao.

Mbona jide na sele hawajasulubiwa kwa kujipambanua chadema?
 
Wameshatua Ndani ya SOKOINE muda huu kuungana na Watanzania wenye akili timamu wanaitambua kuwa Chama cha Siasa chenye maslahi ya Umma ni CCM.
Diamond na wengine wasanii wao walishajiunga CCM siku nyingi.

Ni juzi tu Marlaw amelalamika kuwa kuishabikia CCM imempotezea umaarufu na soko lake la muziki toka kwa vijana, Je hawa nao wanataka kuelekea huko?
 
Kila Mtu Ana haki Yake ya kuchagua kuwa chama gani!!!sasa wao kuwa huko kuna tatizo???tofautisha kazi ya Mtu na itikadi ya chama!
Chadema ni chama cha wasomi na wenye kutumia point!!hapo hauna point zaidi ya ubaguzi!mnakichafua chama
 
Wameshatua Ndani ya SOKOINE muda huu kuungana na Watanzania wenye akili timamu wanaitambua kuwa Chama cha Siasa chenye maslahi ya Umma ni CCM.
Diamond na wengine wasanii wao walishajiunga CCM siku nyingi.
business!business! baniani mbaya kiatu chake dawa!
 
viongozi wengi wa ccm huwa pada dada zetu wa bongo muv kama farasi, sishai kuwaona ccm.
 
viongozi wengi wa ccm huwa pada dada zetu wa bongo muv kama farasi, sishai kuwaona ccm. wao kuwa ccm ni kama chumbani.
 
WanaJF,

Mimi huwa nachukizwa na jinsi CCM wanavyoigiza nchini kwetu. Huwa nachukizwa na maigizo ya kinaNape na KinaMuiguru. Sasa nilivoona wasanii wetu waBONGO MOVIE akina JB, Wastara, Johari, Ndizi, n.k. wanaingia CCM, nilichofanya ni kucukua kazi zao na kutia moto. Naomba mniunge mkono kwa kutonunua na kutizama kazi zao. asanteni
Nashkuru kunipa mbinu stahiki ya kufanya maana nilikuwa nimeazimia kutonunua tena kazi za wasanii wetu hapa nchini hasa hao waliojinga na majambazi ya taifa hili sasa kazi ilikuwa nazifanyaje hizi ambazo ninazo?Nazitia moto sasa hivi,na nimarufuku mtu yoyote kukuta anaangalia movi aliopo hata mmoja wa hao manyang'au
 
Mkuu na mie ndo nazikusanya kusanya hapa nizitie kiberiti .....na ni marufuku hapa nyumbani kwangu mtu kuleta upuuzi wa hao wachumia tumbo
 
Taswira eee6hhh????Mbona M Mpoto sijamwona?
Au ulimaanisha Mboto wa komedy,manake hata Mrisho mpoto kuna filamu aliwahi kuicheza.Ila jina silikumbuki.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom