Search results

  1. M

    Nani Alitoka na Akatoka Bunge la Katiba?

    Bravo broda!Sijawahi kuona chama cha kipuuzi kama CCM!Sitegemei kuona kingine kama hicho mpaka nakufa!
  2. M

    Rwanda yada Mtikila ndiye mwandalizi wa mikakati, mipango na mikutano kati ya Kabiligi na FDLR

    Kweli Kagame siku zake zinahesabika maana hichi kijarida chake kinaweka indicator ya hatari sana
  3. M

    Bunge la Katiba mpeni captain komba uspika wa bunge.

    mkuu fafanua kwanini umesema hivi ukichelewa nitakutukana tusi mamaako fanya haraka halooooo
  4. M

    Green guard wafanya unyama njombe

    Kwani CDM walikwenda kukamata wezi kama wanakamata kuku?Mtakula vichapo msipotumia nguvu na akili mimi nilitegemea nitasikia wala rushwa wamepigwa na kulazwa sasa eti mkamata rushwa ndio kapigwa huo ni usen.ge wao.
  5. M

    Picha: Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Kikwete Akabidhi Wasanii Mashuhuri tuu Kadi za kujiunga na CCM

    Nashkuru kunipa mbinu stahiki ya kufanya maana nilikuwa nimeazimia kutonunua tena kazi za wasanii wetu hapa nchini hasa hao waliojinga na majambazi ya taifa hili sasa kazi ilikuwa nazifanyaje hizi ambazo ninazo?Nazitia moto sasa hivi,na nimarufuku mtu yoyote kukuta anaangalia movi aliopo hata...
  6. M

    Majangili waua tena faru Serengeti, jana usiku!

    wanalindwa kuliko rais alafu wameuwawa je umefuatilia kama rais yuko hai?kama yuko basi anayemlinda raisi ndiye aliyeua faru vinginevyo aliyeua faru ni raisi mwenyewe
  7. M

    Mapya Mgogoro wa Madiwani na Meya Bukoba (VIDEO) Serikali yashindwa kila kitu.

    Hakuna kiongozi wa Jeshi mwenye akili yakuongoza raia maana kwake nguvu gunia akili kijko shame on Kanali Masawe
  8. M

    Dr. Rehema Nchimbi: Wasiomhofia Mungu, wanamponza waziri mkuu

    Huyo mkuu wa mkoa aliupata kwasababu ya kuuza sehemu anazozimiliki ndio maana haoni kama wananchi wanapomfuata yeye ni kwamba wamekwama walikotoka..Ndio unafiki wa Ccm wa miaka yote ni juu yenu kum mabina ili iwe fundisho kwa vibwengo wengine wa aina yake
  9. M

    Jambazi lau OCD CID Newala,askari mmoja na raia

    Big up ndugu jambazi waonyeshe wapuuzi hao kwamba ulinzi sio siasa
  10. M

    Profesa Baregu: Watanzania Wanajiaandaa Kukikabithi CHADEMA Dola.

    Ukiwa na govi kila siku utaamini kila mwanamume anagovi kama wewe maana hutajua kama wametahiriwa kutokana kila mtu kuvaa nguo hivyo mkuu hayo mawazo yako ni kwasababu unagovi la mawazo
  11. M

    Asante Ndimara Tegambwage umenena vyema

    Baadhi ya dini zimethibitika kuwa ni uhalifu kuziabudu na miungu wao ni criminal devils.
  12. M

    Kipi Chuo Kikuu Bora Tanzania??

    kishule kikuu cha msingi cha kiislamu pale morogoro
  13. M

    Kipi Chuo Kikuu Bora Tanzania??

    ndio maana siachi kuwa jf..kaka menibomoa mbavu kiongozi
  14. M

    Omary Jumanne Salum, mkurugenzi mpya wa SIDO

    Certain religions are demonic, those belongs to demons and criminals are practicing it. Criminal religion can be a source of certain appointments.
  15. M

    Omary Jumanne Salum, mkurugenzi mpya wa SIDO

    Certain religions are demonic and is criminal to practice them.
  16. M

    Headmaster Karatu boys; Serikali ya CCM inastahili grade F

    Ha!kwamba aseme jina lake ili mjue dini yake na kabila lake?..Anaitwa HamadJoseph RafaelAhmed Mwandambalala
  17. M

    Habib Mchange awaliza wanaCHADEMA Mwanza, washinikiza asiongee, hoja zake zateka kongamano

    Tena awatoe tongotongo kabisa na aeleze mwenyekiti wa Ccm alimshinda nani kwenye democrasia bora ya Kama ya CDM,aeleze jinsi mwigulu na kinana walivyopatikana kidemocrasia.
  18. M

    Mtela Mwampamba,Habib Mchange na Nyakarungu waratibu mkutano wa waandishi wa Habari Serena Hotel

    Baba yako alimsoma mama yako kwenye gazeti la Tanzania Daima kabla hajamjua na baada ya kumjua ukazaliwa wewe..Hivyo wazazi wako ni wa Udaku.
  19. M

    Mtela Mwampamba,Habib Mchange na Nyakarungu waratibu mkutano wa waandishi wa Habari Serena Hotel

    Zito kabwe ni mwanasiasa mzuri na mimi nashauri wote yeye na kitila mkumbo waombe radhi kamati kuu ili wasamehewe pia waelekezwe namna bora ya kukisaidia chama maana hata wao ni binadamu na wanakosea..Pia kamati kuu chadema ijitahidi kuwa kama mzazi kuliko mahakama maana tunasafari muhimu sana...
  20. M

    Yaliyojiri: Mkutano wa CHADEMA na waandishi wa habari - Nov 26, 2013

    Kweli ndio maana pale kikurunge jimboni kwetu Kibakwe umeme hakuna na ukienda Tanesco wanakwambia Simbachawene kasema msiwekewe umeme maana bei itapanda
Back
Top Bottom