Profesa Baregu: Watanzania Wanajiaandaa Kukikabithi CHADEMA Dola.

Hiv ndugu yangu msalani, mama aliekuzaa anajisikiaje kulizaa litoto kama wewe.? Badilika bana, maana umejiita msalani humu JF umekuwa kama msalani kabisa.

Kwahiyo na wewe unaamini CHADEMA hii ya sasa iko tayari kukabidhiwa Dola?
 
Kama ulumwona vizuri ZZK usoni jana mahakamani, alikuwa akionyesha kuwa yuko guilty. Nadhani Zitto anaweza akajipanga na akawa maarufu tena. Aachane na CHADEMA atafute sehemu nyingine, aanze kujijenga.
 
Pamoja na kwamba vyombo vya habari ni muhimu lakini ukielemea sana huko utapotea, hii naiona CHADEMA kwa baadhi ya viongozi kuchukua maamuzi kutegemea vyombo vya habari vinasema nini.
 
Ni kweli changamoto tuliyonayo ni kubwa sana lazima tuondoe vibaraka wote wanaotumiwa na baadhi ya viongozi wenye nia mbaya na CDM,Viva CDM dola ni yetu 2015
 
Well sayed Profesa Baregu,kwa sasa ikiwezekana ni vyema kumpotezea tu huyu 'kirusi'aliyejitokeza ndani ya CDM kama walivyompotezea mzee wa mipasho SHIBUDA.Nadhani kwa sasa nguvu kubwa wangezielekeza kwa wananchi katika chaguzi zijazo...
 
Wananchi waikabidhi Chadema Dollar? Hizo shilingi tu kwao ngumu kupata hizo dollar watazipata wapi? Na Chadema wanapata ruzuku kila mwezi kwanini wapewe dollar na wananchi? Wanataka kuwatia umasikini wananchi? Itakuwa wanashida na HeLa tu na siyo Dollar (nchi) bado sana nchi haitatawalika.

Body without head
 
tafsiri mfu...
 
ImageUploadedByJamiiForums1389194279.222391.jpg
Chadema mtakamata dola hizo hapo!
 
Prof. Baregu pamoja kuwa nakuheshimu sana kwenye ili nakupinga tanzania hakuna chama mbadala wa CCM.
Ukiwa na govi kila siku utaamini kila mwanamume anagovi kama wewe maana hutajua kama wametahiriwa kutokana kila mtu kuvaa nguo hivyo mkuu hayo mawazo yako ni kwasababu unagovi la mawazo
 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya chadema, Profesa Mwesiga Baregu, amesema viongozi wa chama hicho wanapaswa kulinda kauli zao ili kuepuka mvuragano unaoweza kutokea wakati huu.

“Wakati huu ambao chama kimekuwa na mambo mengi, nawasihi viongozi kuchunga kauli zao ili kuepuka matatizo ambayo yanaweza kujitokeza.

“Nimekuwa msuluhishi ndani ya chama, nakwambia ndani ya chama haiwezekani fikra moja ikaendelea kudumu, kwa msingi huo lazima watu watofautiane mtazamo, si kila jambo kupinga.

“Katika hali hii, msimamo wangu ni kwamba changamoto inayotukabili tupunguze makali ya maamuzi, kwa sababu Watanzania wengi wanakitegemea chama hiki.

“Hivi sasa Watanzania wanajiandaa kukikabidhi CHADEMA dola,
ni wakati mzuri wa viongozi kufikiria maisha ya chama kwanza na baadaye ukweli wa mambo utajulikana,” amesema.

source: wavuti.com

Mtu unaweza kuwa na elimu nzuri,lakini ukiambatana na wajinga na we unapoteza uwezo wako. Baregu anaota ndoto za mchana.
 
Watu wa Pwani bana....

fabric+003.jpg

CHADEMA hii hii ambayo imeanza kuuwa wanachama wake!!!!!

Au unazungumzia CHADEMA nyingine!!! Yaani unamaanisha itafika wakati tusema rais wa JMT dr. Slaa au mmachame dj baba freelady aka mzee wa starehe dubai!!!

Nadhani hii ni ndoto kivulini.
 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya chadema, Profesa Mwesiga Baregu, amesema viongozi wa chama hicho wanapaswa kulinda kauli zao ili kuepuka mvuragano unaoweza kutokea wakati huu.

“Wakati huu ambao chama kimekuwa na mambo mengi, nawasihi viongozi kuchunga kauli zao ili kuepuka matatizo ambayo yanaweza kujitokeza.

“Nimekuwa msuluhishi ndani ya chama, nakwambia ndani ya chama haiwezekani fikra moja ikaendelea kudumu, kwa msingi huo lazima watu watofautiane mtazamo, si kila jambo kupinga.

“Katika hali hii, msimamo wangu ni kwamba changamoto inayotukabili tupunguze makali ya maamuzi, kwa sababu Watanzania wengi wanakitegemea chama hiki.

“Hivi sasa Watanzania wanajiandaa kukikabidhi CHADEMA dola,
ni wakati mzuri wa viongozi kufikiria maisha ya chama kwanza na baadaye ukweli wa mambo utajulikana,” amesema.

source: wavuti.com

Haya Maneno sasa!!Huu ndio uzalendo, CDM imepause tu kwa mgogoro hali imekuwa mbaya kwa watanzania mfano unyanyasasaji kwenye vita vya ujangili, tozo ya simu, Umeme kupanda,mashine za kukusanyia kodi kuuzwa kwa gharama kubwa kupelekea wafanyabiashara kugoma, na mengine yote gharama kupanda!
Kwa namna yeyote hakuna anayepinga hili na ninamna gani CDM inaumuhimu kwa maisha ya mtanzani.
Nchi ilienda likizo, CDM malizeni tofauti kama alivyoshauri msomi huyu chakufanya.
 
Back
Top Bottom