Bunge la Katiba mpeni captain komba uspika wa bunge.

NJALI

JF-Expert Member
Jan 9, 2014
1,534
1,089
Wajumbe wa bunge la katiba watakuwa wameitendea mema nchi na watanzania kwa ujumla ikiwa watafanya yafuatayo:- 1. Kumchagua Captain John Komba kuwa spika wa bunge la katiba. 2. Mzee Kingunge Ngombale Mwiru awe naibu Spika wa Bunge hilo. 3. Lingstone Lusinde(kibajaji) awe Katibu wa Bunge la katiba.
 
mkuu fafanua kwanini umesema hivi ukichelewa nitakutukana tusi mamaako fanya haraka halooooo
 
Capt. Komba2.jpg
 
Back
Top Bottom