Asante Ndimara Tegambwage umenena vyema

Halafu ieleweke kitu kimoja zzk alienda mahakamani Siyo kuishitaki CDM,lengo ni kuweka pingamizi asijadiliwe na CC Hadi kesi ya msingi isikilizwe hata hukumu inasema hivyo hivyo wamezuia uanachama wake usijadiliwe Hadi kesi ya msingi isikilizwe
 
[FONT=trebuchet
ms]Ninachojaribu kutafakari juu ya Mahakama zetu ni pale
zinapotoa hukumu za kuwabakisha wanachama kwenye vyama ili
'wasiathirike'.
Mwanachama wa chama cha siasa kama mtu binafsi anayo haki ya 'kulindwa
na Mahakama' but on the other way round iko hivi: Je vyama kama Taasisi
nazo si zina haki ya kulindwa na Mahakama kwa mujibu wa Katiba zao na
Katiba ya nchi kwa ujumla!?
Kwa maana hiyo, kweli inawezekana siku moja ikatokea Mahakama 'ikatoa
hukumu' ya kumlazimisha mwanachama aliyeamua kuondoka/kukihama chama
asiondoke ili isisababishe damage kwa chama na shughuli zake? (fikiria
mara mbili kama hujanielewa tafadhali).

[/FONT]

na wewe jiulize ni chama gani kinaweza kwenda mahakamani kuzuia mwanachama wake asihame?
 
From @GALinoma:
"Zitto ameijenga chadema na amewavutia wengi waingie chadema, ukiondoa Mbowe wengine wote pale juu wamemkuta Zitto na ni yeye aliyewachagiza wajiunge chadema leo wanajaribu kumtusi kivipi?Tunaofahamu siasa na wanasiasa hawa tuliona mbali tukaonya na kushauri suala hili litakigharimu chama, lakini ikadharaulika, wakabeza naona shughuli yake wanaipata sasa mpaka wanakimbia mahakamani. Zitto sio mwepesi kama baadhi ya watu wanavyojidanganya. Tulisema mtu huyu si wa kung'oa na kutupa kirahisi ni mzito kama jina lake na hii ni kutokana na mchango wa jasho lake alioutoa kuijenga CDM. Vijana walioanza siasa 2010 leo wamepandikizwa chuki na uongo kutwa nzima wanatukana hovyo mitandaoni. Wengine hatusemi lakini tumeona mengi na kuwaona wengi. Leo hii chama kinavurugwa inaumiza sana. Tatizo kuna watu wanajipa mamlaka ya kukiendesha chama ndio hao hao wavurugaji, watunga uongo, watunga fitna na uzandiki. Haya hayasaidii bali kuathiri ustawi wa chama. Mtu mbunge mzima unamobilize vijana waache kufanya kazi wakajazane mahakamani kuzomea. Huku ni kuwajaza ujinga. Naskitika vijana wamegeuzwa vipasa sauti vya wahafidhina, walilia posho na wafuja ruzuku. "

Ndugu unamjua Chancellor wa zamani wa Ujerumani Helmut Kohl na mchango wake kuiunganisha Ujerumani?? Lakini alipogundulika kula rushwa yaani walimfutia heshima zote ambazo angepewa na aliishapewa kwa mchango wake. Zitto ni nini?? Pengine hujui hebu soma ripoti kwenye hii link: Habari na Uchambuzi Yakinifu - KAMA ULIKUWA HUIJUI: hii ndio ripoti ya siri ya mwenendo wa Zitto Kabwe, ndani na nje ya CHADEMA toka mwaka 2008
 
From @GALinoma:
"Zitto ameijenga chadema na amewavutia wengi waingie chadema, ukiondoa Mbowe wengine wote pale juu wamemkuta Zitto na ni yeye aliyewachagiza wajiunge chadema leo wanajaribu kumtusi kivipi?Tunaofahamu siasa na wanasiasa hawa tuliona mbali tukaonya na kushauri suala hili litakigharimu chama, lakini ikadharaulika, wakabeza naona shughuli yake wanaipata sasa mpaka wanakimbia mahakamani. Zitto sio mwepesi kama baadhi ya watu wanavyojidanganya. Tulisema mtu huyu si wa kung'oa na kutupa kirahisi ni mzito kama jina lake na hii ni kutokana na mchango wa jasho lake alioutoa kuijenga CDM. Vijana walioanza siasa 2010 leo wamepandikizwa chuki na uongo kutwa nzima wanatukana hovyo mitandaoni. Wengine hatusemi lakini tumeona mengi na kuwaona wengi. Leo hii chama kinavurugwa inaumiza sana. Tatizo kuna watu wanajipa mamlaka ya kukiendesha chama ndio hao hao wavurugaji, watunga uongo, watunga fitna na uzandiki. Haya hayasaidii bali kuathiri ustawi wa chama. Mtu mbunge mzima unamobilize vijana waache kufanya kazi wakajazane mahakamani kuzomea. Huku ni kuwajaza ujinga. Naskitika vijana wamegeuzwa vipasa sauti vya wahafidhina, walilia posho na wafuja ruzuku. "
Mhandisi unadhani zitto anaweza tena kufanya kazi na watu waliomkataa awali?Fikiri mara mbili hata kama ana jasho lake.Kuna wengi walikuwa na jasho lakini hiki si kigezo cha kuacha wewe uvuruge utaratibu uliopo.
 
Kwa maana hiyo, kweli inawezekana siku moja ikatokea Mahakama 'ikatoa hukumu' ya kumlazimisha mwanachama aliyeamua kuondoka/kukihama chama asiondoke ili isisababishe damage kwa chama na shughuli zake? (fikiria mara mbili kama hujanielewa tafadhali).

Nimeipenda hiii!, sheria ni msumeno....:flame:
 
From @GALinoma:
"Zitto ameijenga chadema na amewavutia wengi waingie chadema, ukiondoa Mbowe wengine wote pale juu wamemkuta Zitto na ni yeye aliyewachagiza wajiunge chadema leo wanajaribu kumtusi kivipi?Tunaofahamu siasa na wanasiasa hawa tuliona mbali tukaonya na kushauri suala hili litakigharimu chama, lakini ikadharaulika, wakabeza naona shughuli yake wanaipata sasa mpaka wanakimbia mahakamani. Zitto sio mwepesi kama baadhi ya watu wanavyojidanganya. Tulisema mtu huyu si wa kung'oa na kutupa kirahisi ni mzito kama jina lake na hii ni kutokana na mchango wa jasho lake alioutoa kuijenga CDM. Vijana walioanza siasa 2010 leo wamepandikizwa chuki na uongo kutwa nzima wanatukana hovyo mitandaoni. Wengine hatusemi lakini tumeona mengi na kuwaona wengi. Leo hii chama kinavurugwa inaumiza sana. Tatizo kuna watu wanajipa mamlaka ya kukiendesha chama ndio hao hao wavurugaji, watunga uongo, watunga fitna na uzandiki. Haya hayasaidii bali kuathiri ustawi wa chama. Mtu mbunge mzima unamobilize vijana waache kufanya kazi wakajazane mahakamani kuzomea. Huku ni kuwajaza ujinga. Naskitika vijana wamegeuzwa vipasa sauti vya wahafidhina, walilia posho na wafuja ruzuku. "

kama kweli we ni mwanasiasa unapaswa kujibu tuhuma zinazomkabili zitto. Wachangiaji na mleta uzi hapo juu wamezungumza kisomi kwa hoja za msingi wewe imekuja kutoa sifa kwa zitto na kuponda wengine badala ya kujibu hoja. Kuna kashfa ya kupewa magari na mkono, kuna kashfa ya ubinafsi,Toa msjibu. Ukizingatia mkono amekiri hajawah kumpa hata senti ndugu; Mbowe, lakini zitto Ana magari 2 ya mkono. Je kuwa miongoni mwa waanzilishi wa chama ndio kunatoa uhalari wa kusaliti chama? Zitto ametumia muda mwingi kujijenga yeye na si chama. Ndio maana hata jimboni kwake CHADEMA ina diwani mmoja tu. Anadai alipsnda milingoti ya bendera akiwa na miaka 16 lakini jimboni kwake hakuna hata msingi wa chama. Hata bendera za chama hakuna. Unatoka mjini mpaka tarafa ya Mahenbe alipopata Kura nyingi utakuta bendera moja tu pale mahembe centre tena juu ya kiosk cha mtu. JE hayo unayazungumziaje?
 
From @GALinoma:
"Zitto ameijenga chadema na amewavutia wengi waingie chadema, ukiondoa Mbowe wengine wote pale juu wamemkuta Zitto na ni yeye aliyewachagiza wajiunge chadema leo wanajaribu kumtusi kivipi?Tunaofahamu siasa na wanasiasa hawa tuliona mbali tukaonya na kushauri suala hili litakigharimu chama, lakini ikadharaulika, wakabeza naona shughuli yake wanaipata sasa mpaka wanakimbia mahakamani. Zitto sio mwepesi kama baadhi ya watu wanavyojidanganya. Tulisema mtu huyu si wa kung'oa na kutupa kirahisi ni mzito kama jina lake na hii ni kutokana na mchango wa jasho lake alioutoa kuijenga CDM. Vijana walioanza siasa 2010 leo wamepandikizwa chuki na uongo kutwa nzima wanatukana hovyo mitandaoni. Wengine hatusemi lakini tumeona mengi na kuwaona wengi. Leo hii chama kinavurugwa inaumiza sana. Tatizo kuna watu wanajipa mamlaka ya kukiendesha chama ndio hao hao wavurugaji, watunga uongo, watunga fitna na uzandiki. Haya hayasaidii bali kuathiri ustawi wa chama. Mtu mbunge mzima unamobilize vijana waache kufanya kazi wakajazane mahakamani kuzomea. Huku ni kuwajaza ujinga. Naskitika vijana wamegeuzwa vipasa sauti vya wahafidhina, walilia posho na wafuja ruzuku. "

Mbowe tumepigwa naye mabomu, Mbowe tumesota nae rumande, Mbowe tumepoteza muda wetu sote kwa kazi za chama, Mbowe tumeingia gharama zetu binafsi kwa ajili ya chama. Mwacheni Mbowe wetu jamani!
 
Huyu Mzee kasema niliyokuwa nawaza. Huwezi kuwapeleka wenzako mahakamani alafu utegemee kuendelea kuwa nao kundi moja
 
Huyu Tegambwage kwa kihaya maana yake ni mtu asieongelewa vizuri na watu,ni muhuni alikuwa mbunge wa NCCR Muleba kaskazini 1995-2000 akafanya uhuni kuanzia alivyopata ubunge mpaka anamaliza muda ndo tulimuona jimboni akiomba kura tena,tena anyamaze kabisa muhuni tu.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
  • Thanks
Reactions: R.B
Mnaojua kutag. m-tag zitto asome huu ujembe. Jamaa amemrahisishia njia ya kufanya maamuzi maana tayari options zote anazo. Anachotakiwa kufanya ni kuchambua faida na hasara za kila option na kuchagua moja yenye faida kubwa hasara kidogo
 
suala la zito linafikia mwishoni na naamin cdm ni chama chenye msimamo na kinajua nn kinafanya kwa mstakabal wa nchi yetu.....kuna mambo ambayo km watanzania wazalendo tunatakiwa kuyajadili kwa kina bila ushabiki lakin cha ajabu wale ambao wanajua kua kuna madudu mpk mda huu ambayo yanafanya maisha ya mtanzania yanazid kua ovyo ndio hao wanashabikia mambo ya zito na cdm wakati wao ni wanachama wa ccm kwan ndio weng na wapo upande wa zito bla kutaka kusikilza upande wa cdm...sasa hapo ndo nashawishika kuamin kua watu wenye fikra za kimapinduz ya kimaendeleo katika taifa hili wapo chama gani....japo sina chama rasmi ila ndio nazid kuona upande wa ccm sio wa kuingia kama kweli wewe ni mzalendo wa kweli...sasa utasikia vichwa maji watakavyokuja kutoa pumba kwenye sehem ya kuongea ya maana...
 
Huyu Tegambwage kwa kihaya maana yake ni mtu asieongelewa vizuri na watu,ni muhuni alikuwa mbunge wa NCCR Muleba kaskazini 1995-2000 akafanya uhuni kuanzia alivyopata ubunge mpaka anamaliza muda ndo tulimuona jimboni akiomba kura tena,tena anyamaze kabisa muhuni tu.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums

Mkuu muda mwinginr usipende kuleta ushabiki kila jambo embu leta uhuni wa huyu jamaaa.

Pia mkuu jitahidi kujibu hoja zake na sio kumfanyia personal attack.

Na alosema liluwahi kumtokea au kulifanya so ana experience amabyo kaielrza vizuri tu, sasa ww unaposema kwamba anauhuni kama hoja ya sie kutomuelewa wakati tumepima na kuona ana hoja tunashindwa kupata uwezo wako wa kuhoji na labda hata kupinga hoja za msingi.

Jiweke katka kujadili hoja zake na si vinginevyo.
 
kwa wale wachache tunaomfahamu Ndimara tengambwage, tunajua kuwa huyu hajawahi kuongoza wala kujiongoza, ni mfuasi na mshabiki katika miaka yote yote ya maisha yake!!!(bado tunamkumbuka kipindi akiwa NCCR)
amejidhihirisha kuwa yuko kundi la WAJINGA wanaodhani ZZK anapambana na chadema.
hawataki kukubali kwamba yeye zzk ndio chadema na wale anaovutana nao ndio wanaotaka kuharibu chama, hawa wazee wanaozeeka wakiwa masikini wa kipato wanageuka kuwa masikini wa kiakili,mawazo na fikra
 
Mkuu muda mwinginr usipende kuleta ushabiki kila jambo embu leta uhuni wa huyu jamaaa.

Pia mkuu jitahidi kujibu hoja zake na sio kumfanyia personal attack.

Na alosema liluwahi kumtokea au kulifanya so ana experience amabyo kaielrza vizuri tu, sasa ww unaposema kwamba anauhuni kama hoja ya sie kutomuelewa wakati tumepima na kuona ana hoja tunashindwa kupata uwezo wako wa kuhoji na labda hata kupinga hoja za msingi.

Jiweke katka kujadili hoja zake na si vinginevyo.

Naendelea kusisitiza ni muhuni kwa maana mwanasiasa huyu mzoefu wa haya mambo ya kufukuzana ingekuwa ni busara zaidi kipindi mgogoro huu unaanza angemuita Kijana ZZK na kujaribu kumshauri naamini ZZK ni kijana msikivu sana lakini sio hii alofanya kushauri baada ya moto kuwa mkali zaidi mambo ya "angelijua"yashapitwa na wakati,alichofanya ni kujikosha kwa akina Mbowe na Slaa ndo maana ushauri wake kautoa kwenye gazeti la Tanzania Daima,kuwa mjanja mkuu fungua macho...huu mgogoro watu washaufanya mtaji.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
There some people are using Lower center instead of their higher center to make an argument in this forum! Let's discuss the motion put forward before us! Mara uyu msukule mara kibaraka so what? Uwezi kuchangia kaa kimya! Let's be part of solution, If this forum is real the home of great thinkers!
 
ndimara ulichoongea ni ukweli mtupu ingawa kuna watu walizaliwa kwa ajili ya kupinga kila kitu wacha wapinge mwisho wake watauona
 
Back
Top Bottom