Zzk akiwa kazini

Ili ujue alivyo mnafki kwenye M4C hakuonekana,now kaona unga unamwagika imebidi ajitume
 
Hivi bwana makengeza mbona siku hizi simsikii kabisa.Au nguvu na Mbgurumo wa Act umemfanya ajifiche chini ya uvungu
Yuko Machame anapambana kibarua chake cha Ubunge kisiote nyasi. Maana mpaka wachaga wenzie wameshamshtukia kuwa ni tapeli.
 
Jamaa kakonda anahangaika sana, Jana morogoro watu walikuwa wachache sana
 
Wakati Mzee Slaa yuko marekani akijipendeza kwa watu weupe.Huku Tanzania Wazalendo wanaendelea kuchanja mbuga.

Slaa na mwenyekiti wako wa chama nani anayejipendekeza kwa wazungu? Mwenyekiti wako anaongoza kwa kuwa ombaomba la kutupwa dunia nzima..yaani ni gwiji la kutembeza bakuli.Anaomba mpaka mbegu za mananasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…