J JWKRMM JF-Expert Member Sep 17, 2017 1,577 1,041 Nov 13, 2017 #1 Habari GTs, Naomba kujuzwa maneno: Zwazwa na hewallah yana maana gani nimekuwa nikikutana nayo kwenye maandishi JF lakini sielewi maana yake naomba kujuzwa. AHSANTENI
Habari GTs, Naomba kujuzwa maneno: Zwazwa na hewallah yana maana gani nimekuwa nikikutana nayo kwenye maandishi JF lakini sielewi maana yake naomba kujuzwa. AHSANTENI
Demi JF-Expert Member Nov 22, 2016 37,411 79,658 Nov 13, 2017 #2 Zwazwa!! Mbiti njoo uje utoe definition ya hili neno maana nimelisikia kutoka kwako. Cc: MBITIYAZA
J JWKRMM JF-Expert Member Sep 17, 2017 1,577 1,041 Nov 13, 2017 Thread starter #4 demi said: Zwazwa!! Mbiti njoo uje utoe definition ya hili neno maana nimelisikia kutoka kwako. Cc: MBITIYAZA Click to expand... afadhali aje....
demi said: Zwazwa!! Mbiti njoo uje utoe definition ya hili neno maana nimelisikia kutoka kwako. Cc: MBITIYAZA Click to expand... afadhali aje....
J JWKRMM JF-Expert Member Sep 17, 2017 1,577 1,041 Nov 13, 2017 Thread starter #5 Chupayamaji said: Hewallah-Swadakta Click to expand... sawdakta mbona nalo silijui tafadhali naomba ufafanue
Chupayamaji said: Hewallah-Swadakta Click to expand... sawdakta mbona nalo silijui tafadhali naomba ufafanue
LUBEDE JF-Expert Member May 7, 2013 4,312 6,638 Nov 13, 2017 #6 acha uzwazwa mleta uzi..zwazwa means zoba,boya,fala,mjinga mjinga,kilaza and the kind!
J JWKRMM JF-Expert Member Sep 17, 2017 1,577 1,041 Nov 13, 2017 Thread starter #7 LUBEDE said: acha uzwazwa mleta uzi..zwazwa means zoba,boya,fala,mjinga mjinga,kilaza and the kind! Click to expand... asante sana ndugu yangu
LUBEDE said: acha uzwazwa mleta uzi..zwazwa means zoba,boya,fala,mjinga mjinga,kilaza and the kind! Click to expand... asante sana ndugu yangu
Dr Louis JF-Expert Member Nov 12, 2017 442 421 Nov 13, 2017 #8 LUBEDE said: acha uzwazwa mleta uzi..zwazwa means zoba,boya,fala,mjinga mjinga,kilaza and the kind! Click to expand... Hahahaahaaaaaaaa
LUBEDE said: acha uzwazwa mleta uzi..zwazwa means zoba,boya,fala,mjinga mjinga,kilaza and the kind! Click to expand... Hahahaahaaaaaaaa
Chaliifrancisco JF-Expert Member Jan 17, 2015 23,546 70,460 Nov 13, 2017 #9 JWKRMM said: sawdakta mbona nalo silijui tafadhali naomba ufafanue Click to expand... Unaishi wapi mzee.. Swadakta, hewallah, vizuri sana, naam, cool, nice hayo maneno hayo ni ndugu
JWKRMM said: sawdakta mbona nalo silijui tafadhali naomba ufafanue Click to expand... Unaishi wapi mzee.. Swadakta, hewallah, vizuri sana, naam, cool, nice hayo maneno hayo ni ndugu
J JWKRMM JF-Expert Member Sep 17, 2017 1,577 1,041 Nov 13, 2017 Thread starter #10 chaliifrancisco said: Unaishi wapi mzee.. Swadakta, hewallah, vizuri sana, naam, cool, nice hayo maneno hayo ni ndugu Click to expand... Naishi hapa hapa bongo nashukuru nimejifunza sasa siku mtu akiniuliza maana ya maneno hayo nitamwuliza unatokea nchi gani hujui maneno hayo.
chaliifrancisco said: Unaishi wapi mzee.. Swadakta, hewallah, vizuri sana, naam, cool, nice hayo maneno hayo ni ndugu Click to expand... Naishi hapa hapa bongo nashukuru nimejifunza sasa siku mtu akiniuliza maana ya maneno hayo nitamwuliza unatokea nchi gani hujui maneno hayo.
Chaliifrancisco JF-Expert Member Jan 17, 2015 23,546 70,460 Nov 13, 2017 #11 JWKRMM said: Naishi hapa hapa bongo nashukuru nimejifunza sasa siku mtu akiniuliza maana ya maneno hayo nitamwuliza unatokea nchi gani hujui maneno hayo. Click to expand... Poa
JWKRMM said: Naishi hapa hapa bongo nashukuru nimejifunza sasa siku mtu akiniuliza maana ya maneno hayo nitamwuliza unatokea nchi gani hujui maneno hayo. Click to expand... Poa