sawdakta mbona nalo silijui tafadhali naomba ufafanueHewallah-Swadakta
asante sana ndugu yanguacha uzwazwa mleta uzi..zwazwa means zoba,boya,fala,mjinga mjinga,kilaza and the kind!
Hahahaahaaaaaaaaacha uzwazwa mleta uzi..zwazwa means zoba,boya,fala,mjinga mjinga,kilaza and the kind!
Unaishi wapi mzee..sawdakta mbona nalo silijui tafadhali naomba ufafanue
Naishi hapa hapa bongo nashukuru nimejifunza sasa siku mtu akiniuliza maana ya maneno hayo nitamwuliza unatokea nchi gani hujui maneno hayo.Unaishi wapi mzee..
Swadakta, hewallah, vizuri sana, naam, cool, nice hayo maneno hayo ni ndugu
PoaNaishi hapa hapa bongo nashukuru nimejifunza sasa siku mtu akiniuliza maana ya maneno hayo nitamwuliza unatokea nchi gani hujui maneno hayo.