Zwazwa na hewallah ni maneno yenye maana gani?

JWKRMM

JF-Expert Member
Sep 17, 2017
1,577
1,041
Habari GTs,

Naomba kujuzwa maneno: Zwazwa na hewallah yana maana gani nimekuwa nikikutana nayo kwenye maandishi JF lakini sielewi maana yake naomba kujuzwa.

AHSANTENI
 
Zwazwa!! Mbiti njoo uje utoe definition ya hili neno maana nimelisikia kutoka kwako.
Cc: MBITIYAZA
 
Unaishi wapi mzee..

Swadakta, hewallah, vizuri sana, naam, cool, nice hayo maneno hayo ni ndugu
Naishi hapa hapa bongo nashukuru nimejifunza sasa siku mtu akiniuliza maana ya maneno hayo nitamwuliza unatokea nchi gani hujui maneno hayo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom