Naomba kujuzwa kuhusu magari yanayouzwa na Jan Japan Tanzania

Katika yard ambazo hawachezei speedometer basi ile ndo ya kwanza, magari yao kukuta yana km chini ya 80,000 n machache na bei inakuwa imenyooka. Mengi yao km zinaanzia laki na kuendelea unakuta gari zina km hadi 200,000+ wanauza kama ilivyo.
Sawa.
 
Naomba kuuliza, gari la Japan likiwa na kilomita kuanzia ngapi ndilo linakuwa limechoka?
 
Naomba kuuliza, gari la Japan likiwa na kilomita kuanzia ngapi ndilo linakuwa limechoka?
Kuchoka kwa gari kunategemea na matunzo ya mmiliki wa gari.

Unaweza kununua gari yenye mileage chache, kumbe haikutunzwa vizuri. Ikawa mbovu kuliko gari iliyotunzwa vizuri ila ina mileage kubwa.

Mfano, mtu A kanunua gari yenye mileage 78,000km. Baada ya miaka 2 akafanya overhaul ya injini au akanunua injini mpya. Huenda hayo yalisababishwa na matunzo mabaya. Ila mtu B akanunua gari yenye 150,000km yenye matunzo mazuri na ikakupa performance nzuri kuliko yenye mileage chache.
 
Back
Top Bottom