Zuzu ajalini!

princess enny

JF-Expert Member
May 27, 2012
1,038
379
basi moja la abiria lilipata ajali liliteleza na kutumbukia mtoni,
kila mtu akajiokoa mwenyewe, kuna zuzu moja alipofika juu akavua nguo zote akajtosa tena!
watu wakashangaa na kumuuliza "we vipi?" akajibu
"naenda kumfata konda hajanirudishia chenji yangu"
 
basi alifanya la maana kuifuata chenji yake hata kama ni mimi ningejitosa kumfuata anigei chenji yangu ya lada
 
basi moja la abiria lilipata ajali liliteleza na kutumbukia mtoni,
kila mtu akajiokoa mwenyewe, kuna zuzu moja alipofika juu akavua nguo zote akajtosa tena!
watu wakashangaa na kumuuliza "we vipi?" akajibu
"naenda kumfata konda hajanirudishia chenji yangu"

n shimbon nn??
 
mimi si kumbatiwi ati ndo nipate chapaa.. lazima anirudishie chenji yangu sitaki utani mazee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom