Wahenga walishasema "Wajinga ndio waliwao"Acha atapeli maana wajinga hawaishi
Manabii wa mitume wa tz WOTE ni matapeli wakutupwa
Wengi ni marafiki zangu nawajua in and out
Akiachiwa na akaisifia “awamu ya tano” bila shaka tutajua ni nini kilimuweka ndani.
Unamjua Zumaridi vizuri wewe unayetoa huu ushuhuda. Usifanye kitu kinaitwa 'one size fits all'ZUMARID anaonewa na kosa lake kubwa ni kutojihusisha na kusifia au kuwa karibu na serikali, hilo ni kosa kubwa ambalo kalifanya kwa makusudi au kujisahau .
Zumarid havunji sheria ya nchi, anawa-brainwash wajinga na kupiga mamilioni na maisha yamemnyookea vizuri tu.
Zumarid hana tofauti kubwa na kina Mwamposa, Mwingira, Gwajima, Frank, Mama Rwakatare, GeorDavie, Malisa, na wanaojiita manabii na mitume hapa TZ. Mzee wa Upako (huyu ni wa muda mrefu na siku hizi analalamika wanaokuja wanajiita mitume na manabii hivo wanamuharibia biashara).
Narudia hana tofauti nao kubwa, wote Objective yao ni kupiga hela, Mwamposa anauza keki, maji, mafuta, leso n.k kwa mwamvuli zina upako, na anapiga hela, ila ni mjanja yupo karibu na utawala.
Waulize hata kina Kakobe, Gwajima, Mzee wa Upako wamefikaje hapo bila bugudha; walijiweka karibu na utawala, hivo wakaaminika na kutumia janja zao na mazingaombwe (miujiza fake), kwasasa wana ukwasi mkubwa sana. The same kwa kina Mama Rwakatare, Mzee wa Upako hadi barabara alijengewa, Gwajima kabla ya misa zake atamuombea JPM na makatibu wote wa wizara, na amekuwa akiisifu sana serikali siku hizi.
Hii kwa Zumarid alisahahu, ndio maana Serikali imemfikia, ila hana tofauti yoyote na kina Mwamposa au Gwajima , wanatofautiana tu taratibu za kupiga hela, ila mazingaombwe (miujiza fake) ni ile ile.
Zumarid yupo hapo Isenyi kwa karibu miaka 3, havunji sheria ya nchi, anachokifanya ni kile kile wanachofanya kina Mwamposa, kuwa-brainwash watu na kupata fedha nyingi bila kuilipia kodi.
Naomba double standard isitumike kwa Zumarid Diana Bundala), wakamatwe na hawa wanaowauzia watu maji, mafuta, keki na leso, na kudanganya wanatibu HIV kama anavyojinadi Nabii Frank .
Simtetei Zumarid, ila kama mmeshindwa kuwakamata hawa manabii na mitume waliojazana hapa Dar, Iringa, Mbeya, singida, Arusha, n.k
Basi muacheni Zumarid ale maisha, maana ameshafanikiwa kuwa-brainwash kama Mwamposa alivyofanikiwa.
Asionewe peke yake Zumarid; Gwajima, mwamposa mnawaachaje?
Soon Zumarid ataachiwa na ataendelea na shughuli zake, hakuna sheria aliyovunja.
Wamuache mfalme wa watu ni mjasiriamaliNmemskiza uyo dc. kosa hapo ni kukosa leseni/kibali tu hayo mengne ni "figisu za kiswahili"
Eti inakuwaje mwanamke kawa mfalme[emoji23][emoji23][emoji23]
ttunachaguliana life??
Zumarid namfahamu vzr tuUnamjua Zumaridi vizuri wewe unayetoa huu ushuhuda. Usifanye kitu kinaitwa 'one size fits all'
Wewe ndiye utakuwa umejichanganya au IQ ndogoSoma maelezo yako uone anavyo jichanganya
Upo sahihi wamuache kama hawawez kumdhibiti kwa maandikoWamuache mfalme wa watu ni mjasiriamali
Watu wanaosali kwa kina papa na kina kadinari, na makanisa mengine huona kama wanaosali kwa hizi independent ministries wanaibiwa sana, wanasahau kua hata wao wanaibiwa. Makanisa yote ni wizi mtupu, taasisi zote za dini ni taasisi za wizi na utapeli. Mungu hayupo.
Zamani kanisa katoliki walikua wanauza msamaha wa dhambi, hata ukofira mtu unaenda unalipa kiasi kadhaa kwa padri anakusamehe, ndio maana hiyo tabia imeota mizizi ndani ya kanisa, watu wanafirana tu toka asubuhi hadi jioni kuanzia waumini hadi mapadri kisha wanalipia wnaaombeana wanasameheana.
Unamuona mtu anawaponda kina gwajima huku bado analipia msamaha wa dhambi, wenye akili tunashangaa sana.
UBARIKIWE ASANTE SANA!Watu wanaosali kwa kina papa na kina kadinari, na makanisa mengine huona kama wanaosali kwa hizi independent ministries wanaibiwa sana, wanasahau kua hata wao wanaibiwa. Makanisa yote ni wizi mtupu, taasisi zote za dini ni taasisi za wizi na utapeli. Mungu hayupo.
Zamani kanisa katoliki walikua wanauza msamaha wa dhambi, hata ukofira mtu unaenda unalipa kiasi kadhaa kwa padri anakusamehe, ndio maana hiyo tabia imeota mizizi ndani ya kanisa, watu wanafirana tu toka asubuhi hadi jioni kuanzia waumini hadi mapadri kisha wanalipia wnaaombeana wanasameheana.
Unamuona mtu anawaponda kina gwajima huku bado analipia msamaha wa dhambi, wenye akili tunashangaa sana.
SawaZUMARID anaonewa na kosa lake kubwa ni kutojihusisha na kusifia au kuwa karibu na serikali, hilo ni kosa kubwa ambalo kalifanya kwa makusudi au kujisahau .
Zumarid havunji sheria ya nchi, anawa-brainwash wajinga na kupiga mamilioni na maisha yamemnyookea vizuri tu.
Zumarid hana tofauti kubwa na kina Mwamposa, Mwingira, Gwajima, Frank, Mama Rwakatare, GeorDavie, Malisa, na wanaojiita manabii na mitume hapa TZ. Mzee wa Upako (huyu ni wa muda mrefu na siku hizi analalamika wanaokuja wanajiita mitume na manabii hivo wanamuharibia biashara).
Narudia hana tofauti nao kubwa, wote Objective yao ni kupiga hela, Mwamposa anauza keki, maji, mafuta, leso n.k kwa mwamvuli zina upako, na anapiga hela, ila ni mjanja yupo karibu na utawala.
Waulize hata kina Kakobe, Gwajima, Mzee wa Upako wamefikaje hapo bila bugudha; walijiweka karibu na utawala, hivo wakaaminika na kutumia janja zao na mazingaombwe (miujiza fake), kwasasa wana ukwasi mkubwa sana. The same kwa kina Mama Rwakatare, Mzee wa Upako hadi barabara alijengewa, Gwajima kabla ya misa zake atamuombea JPM na makatibu wote wa wizara, na amekuwa akiisifu sana serikali siku hizi.
Hii kwa Zumarid alisahahu, ndio maana Serikali imemfikia, ila hana tofauti yoyote na kina Mwamposa au Gwajima , wanatofautiana tu taratibu za kupiga hela, ila mazingaombwe (miujiza fake) ni ile ile.
Zumarid yupo hapo Isenyi kwa karibu miaka 3, havunji sheria ya nchi, anachokifanya ni kile kile wanachofanya kina Mwamposa, kuwa-brainwash watu na kupata fedha nyingi bila kuilipia kodi.
Naomba double standard isitumike kwa Zumarid Diana Bundala), wakamatwe na hawa wanaowauzia watu maji, mafuta, keki na leso, na kudanganya wanatibu HIV kama anavyojinadi Nabii Frank .
Simtetei Zumarid, ila kama mmeshindwa kuwakamata hawa manabii na mitume waliojazana hapa Dar, Iringa, Mbeya, singida, Arusha, n.k
Basi muacheni Zumarid ale maisha, maana ameshafanikiwa kuwa-brainwash kama Mwamposa alivyofanikiwa.
Asionewe peke yake Zumarid; Gwajima, mwamposa mnawaachaje?
Soon Zumarid ataachiwa na ataendelea na shughuli zake, hakuna sheria aliyovunja.
Ee bwana eeh!
majinga ndio yanayoliwa mi nashauri tu angeachiwa aendelee Kutapeli wakristo Nyumbu kama anavyofanya mwamposa,gwajima na wengine wa aina hiyoZUMARID anaonewa na kosa lake kubwa ni kutojihusisha na kusifia au kuwa karibu na serikali, hilo ni kosa kubwa ambalo kalifanya kwa makusudi au kujisahau .
Zumarid havunji sheria ya nchi, anawa-brainwash wajinga na kupiga mamilioni na maisha yamemnyookea vizuri tu.
Zumarid hana tofauti kubwa na kina Mwamposa, Mwingira, Gwajima, Frank, Mama Rwakatare, GeorDavie, Malisa, na wanaojiita manabii na mitume hapa TZ. Mzee wa Upako (huyu ni wa muda mrefu na siku hizi analalamika wanaokuja wanajiita mitume na manabii hivo wanamuharibia biashara).
Narudia hana tofauti nao kubwa, wote Objective yao ni kupiga hela, Mwamposa anauza keki, maji, mafuta, leso n.k kwa mwamvuli zina upako, na anapiga hela, ila ni mjanja yupo karibu na utawala.
Waulize hata kina Kakobe, Gwajima, Mzee wa Upako wamefikaje hapo bila bugudha; walijiweka karibu na utawala, hivo wakaaminika na kutumia janja zao na mazingaombwe (miujiza fake), kwasasa wana ukwasi mkubwa sana. The same kwa kina Mama Rwakatare, Mzee wa Upako hadi barabara alijengewa, Gwajima kabla ya misa zake atamuombea JPM na makatibu wote wa wizara, na amekuwa akiisifu sana serikali siku hizi.
Hii kwa Zumarid alisahahu, ndio maana Serikali imemfikia, ila hana tofauti yoyote na kina Mwamposa au Gwajima , wanatofautiana tu taratibu za kupiga hela, ila mazingaombwe (miujiza fake) ni ile ile.
Zumarid yupo hapo Isenyi kwa karibu miaka 3, havunji sheria ya nchi, anachokifanya ni kile kile wanachofanya kina Mwamposa, kuwa-brainwash watu na kupata fedha nyingi bila kuilipia kodi.
Naomba double standard isitumike kwa Zumarid Diana Bundala), wakamatwe na hawa wanaowauzia watu maji, mafuta, keki na leso, na kudanganya wanatibu HIV kama anavyojinadi Nabii Frank .
Simtetei Zumarid, ila kama mmeshindwa kuwakamata hawa manabii na mitume waliojazana hapa Dar, Iringa, Mbeya, singida, Arusha, n.k
Basi muacheni Zumarid ale maisha, maana ameshafanikiwa kuwa-brainwash kama Mwamposa alivyofanikiwa.
Asionewe peke yake Zumarid; Gwajima, mwamposa mnawaachaje?
Soon Zumarid ataachiwa na ataendelea na shughuli zake, hakuna sheria aliyovunja.
Ee bwana eeh!
Kuna siku 1 natoka zangu maeneo ya delux barabara ya uhuru(Mwz) kufika sehem 1 inaitwa dampo jamaa kanisimamisha kavaa suti nyekundu ile kuhamaki wengine wawili tena hawa, kumbe huyo tapeli alikuwa kamaliza kurembwa saloon 1 inaitwa nyota ya warembo. Mmmh nikajiuliza kuna nini? Bahati nzuri boda boda kaja anataka kuni-overtake nafasi ikawa ndogo ya kupita nikashusha kioo nikamuuliza kuna nini hapa akanambia aaah kumbe ni mvunja ndoa za watu nikamuuliza tena nani huyo akanijibu ni Zumaridi mmama 1 ana kanisa Isenyi alikuja kurembwa.
Sasa mkiona msafara na wapambe wake wadada kwa midume mizima wanavyo hangaika awe anatoka au anaingia saloon utawahurumia. Hata Wale wa Mheshimiwa Rais hawahangaiki kivile. Duh! Acha tu.
Sasa nikaambiwa akifika kanisani kwake sasa hiyo j’pili ndio balaa, wakati anaingia kanisani waumini mnapiga magoti na msimuangalie geuza shingo au inamisha uso hadi afike kule mbele.
Nikaonyeshwa mabeseni yenye jina lake ambayo wajasiliamali huyatumia kufanyia ujasiliamali (dagaa, matunda karanga n.k) yameombewa au yamebarikiwa tayari.
Ila ukweli ni bora ushinde home (pagani) kuliko hizi imani za leo hii na haya makanisa.
Afu naambiwa mke akitia timu huko kanisani kwake, mwanaume jiandae kuikosa ndoa au uoe upya
WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA.
Sasa yeye si mungu ajitoe sasa polisi mungu gani anakamatwa yaani kunamijitu ni mipumbavu ya mwisho ningekuwepo huko mwanza ningemtafuta Huyo mama nimtongoze nimgonge