Zumarid anaonewa, wakamatwe na kina Mwamposa

Zumarid anaonewa, wakamatwe na kina Mwamposa

Nyegezi zikizidi sana mwilini hugeuka kuwa mapepo hatari sana hasa kwa akimama.. Huyu mama anaonekana kukumbwa na hilo tatizo aka "Jini mushkeli"
Wanaume tujitahidi kuwasitiri wenzetu hawa maana haya manyegezi yao yakijaa huwa ni mapepo hayari sana na huweza kuleta madhara makubwa kwenye jamii..
 
Ila wa kulaumiwa ni kondoo wanaojipeleka wenyewe.lakini matatizo ni mengi mno na watu wanahitaji faraja sana nowadays.
 
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa,
Wamama wamama, nani amewaroga nie wamama.....mnamiminika kwenye makanisa ya manabii na mitume kumbe mnaenda kuibiwa, wamama rudini na mtubu jamani,siku ya mwisho mtakutwa mko njia panda mnatafuta mafuta, sijui maji n.k 😳 😳 😳
 
Nakuhakikishia soon atarudi na kuendelea na shughuli zake za kitapeli

Alichokosea kutojiweka karibu na serikali

Kuna rafiki yangu nimesoma naye , juzi amekuwa nabii anajiandaa kuanza kula hela za wajinga , nimemshauri ajiweke kwanza karibu na Serikali
...................Kwanini ukamshauri kwenda kula hela za wajinga kwa kutumia Biblia badala umkanye?au ana version nyengine ya kitabu chake alichojitungia anaenda naye kuwa-brainwash wajinga apate pesa.

Acha wawaibie tu,dunia hii watu wanadhani Imani ni kitu cha mchezo kwamba Imani yangu atanishikia nabii sijui mtume sijui takataka gani siku nikiitaka naenda naichukua nakaa nayo kidogo kisha namrudishia tena.
 
Wajinga na wapmbv hawatoisha Labda siku bahari ikauke

Ova
 
majinga ndio yanayoliwa mi nashauri tu angeachiwa aendelee Kutapeli wakristo Nyumbu kama anavyofanya mwamposa,gwajima na wengine wa aina hiyo
Inadhihirisha nchi hii haina uhuru wa dini wala dhamiri, sitetei ujinga wowote lakini tendo hili si la haki, na ukiona sasa serikali ina uhuru wa kuingilia mambo ya dini ipo siku hata wewe hutakuwa salama, maana watakaa watu fulani wanaojiita wakuu wa dini au wasomi wa dini, na kuizuia huduma yako. Wamwache tupambane naye kiroho na si kimwili, maana hapo ndipo kama wameuwasha moto kwa wafuasi wake.
 
majinga ndio yanayoliwa mi nashauri tu angeachiwa aendelee Kutapeli wakristo Nyumbu kama anavyofanya mwamposa,gwajima na wengine wa aina hiyo
Upo sahihi aachiwe atapeli maana wajinga hawaishi

Kama Gwajima ,Mwamposa wana tapeli na wanadunda tu

Why wamuone Zumarid tu

Mm.nasema aachwe tupambane nae kwa maandiko ,


Isitetei ujinga wowote lakini tendo hili si la haki, na ukiona sasa serikali ina uhuru wa kuingilia mambo ya dini ipo siku hata wewe hutakuwa salama, maana watakaa watu fulani wanaojiita wakuu wa dini au wasomi wa dini, na kuizuia huduma yako.

Wamwache tupambane naye kiroho na si kimwili, maana hapo ndipo kama wameuwasha moto kwa wafuasi wake.
 
Ila kuna watu wana uthubutu wa hatari. Inakuwaje huyo mtu hatumii kitabu kitakatifu chochote na bado anadakisha watu km woote.

Duh sijui nakosea wapi?
Anatumia biblia vizuri tu kama kina Gwajima ,mwamposa , mwingira , kakobe, Mzee wa upako ,n.k


Anayachezea maandiko kama hao wanavyoyachezea


Ndio maana serikali haitamtia hatihani kwa kosa la kiimani ,Bali watamsumbua kuhusu kibali .
 
...................Kwanini ukamshauri kwenda kula hela za wajinga kwa kutumia Biblia badala umkanye?au ana version nyengine ya kitabu chake alichojitungia anaenda naye kuwa-brainwash wajinga apate pesa.

Acha wawaibie tu,dunia hii watu wanadhani Imani ni kitu cha mchezo kwamba Imani yangu atanishikia nabii sijui mtume sijui takataka gani siku nikiitaka naenda naichukua nakaa nayo kidogo kisha namrudishia tena.
Nimemshauri maana ameshaamua kuingia kwenye hiyo biashara

Kuna mwingine nimekaa nae hapo ubungo

Aliwauzia watu mafuta na maji , alipata pesa sana ,

Amemaliza chuo Nairobi ,Agriculture engineering , kaja tz hakuna ajira ,

Kakaa chini kaona wajinga ni wengi ,akawa tumia kama mtaji , sasa hivi nahisi alishaenda mikoani

Alikuwa anajiita nabii Hosea chamungu
 
Sababu ya msingi ni kukosa usajili wa kanisa lake, anatumia usajili wa kanisa lingine. Hizo nyingine ni mbwembwe tu.
ZUMARID anaonewa na kosa lake kubwa ni kutojihusisha na kusifia au kuwa karibu na serikali, hilo ni kosa kubwa ambalo kalifanya kwa makusudi au kujisahau .

Zumarid havunji sheria ya nchi, anawa-brainwash wajinga na kupiga mamilioni na maisha yamemnyookea vizuri tu.

Zumarid hana tofauti kubwa na kina Mwamposa, Mwingira, Gwajima, Frank, Mama Rwakatare, GeorDavie, Malisa, na wanaojiita manabii na mitume hapa TZ. Mzee wa Upako (huyu ni wa muda mrefu na siku hizi analalamika wanaokuja wanajiita mitume na manabii hivo wanamuharibia biashara).

Narudia hana tofauti nao kubwa, wote Objective yao ni kupiga hela, Mwamposa anauza keki, maji, mafuta, leso n.k kwa mwamvuli zina upako, na anapiga hela, ila ni mjanja yupo karibu na utawala.

Waulize hata kina Kakobe, Gwajima, Mzee wa Upako wamefikaje hapo bila bugudha; walijiweka karibu na utawala, hivo wakaaminika na kutumia janja zao na mazingaombwe (miujiza fake), kwasasa wana ukwasi mkubwa sana. The same kwa kina Mama Rwakatare, Mzee wa Upako hadi barabara alijengewa, Gwajima kabla ya misa zake atamuombea JPM na makatibu wote wa wizara, na amekuwa akiisifu sana serikali siku hizi.

Hii kwa Zumarid alisahahu, ndio maana Serikali imemfikia, ila hana tofauti yoyote na kina Mwamposa au Gwajima , wanatofautiana tu taratibu za kupiga hela, ila mazingaombwe (miujiza fake) ni ile ile.

Zumarid yupo hapo Isenyi kwa karibu miaka 3, havunji sheria ya nchi, anachokifanya ni kile kile wanachofanya kina Mwamposa, kuwa-brainwash watu na kupata fedha nyingi bila kuilipia kodi.

Naomba double standard isitumike kwa Zumarid Diana Bundala), wakamatwe na hawa wanaowauzia watu maji, mafuta, keki na leso, na kudanganya wanatibu HIV kama anavyojinadi Nabii Frank .

Simtetei Zumarid, ila kama mmeshindwa kuwakamata hawa manabii na mitume waliojazana hapa Dar, Iringa, Mbeya, singida, Arusha, n.k

Basi muacheni Zumarid ale maisha, maana ameshafanikiwa kuwa-brainwash kama Mwamposa alivyofanikiwa.

Asionewe peke yake Zumarid; Gwajima, mwamposa mnawaachaje?


Soon Zumarid ataachiwa na ataendelea na shughuli zake, hakuna sheria aliyovunja.
 
Sababu ya msingi ni kukosa usajili wa kanisa lake, anatumia usajili wa kanisa lingine. Hizo nyingine ni mbwembwe tu.
Soma uelewe, kama Zumarid kakamatwa, Mwamposa anaachwaje?
Zumarid kakamatwa kwa kosa gani?
Maana hakuna tofauti kubwa kati ya Zumarid na kina Mwamposa , Mwingira, na hawa wanaojiita manabii.
Sababu ya msingi ni kukosa usajili wa kanisa lake, anatumia usajili wa kanisa lingine. Hizo nyingine ni mbwembwe tu.
 
Alipewa usajili wa kanisa lingine akawa kama tawi la hilo kanisa. Waliompa usajili wao wamemtema so inabidi akaombe kibali wizara ya mambo ya ndani ndio aendelee na huduma
Miaka yote minne walikuwa wapi , Leo ndio wameshtuka hana kibari?
 
Hajafungiwa kwa sababu za imani, amefungiwa kwa kuendesha kanjsa bila usajili
Double standard ya Watanzania na Waafrika kwa ujumla, Nionavyo mimi huyu mama hajafanya kosa lolote..

Hajamlazimisha mtu kuingia katika hiyo dini yake, wafuasi wake wamejiunga kwa hiyari zao..

Wafuasi wake sio watoto Wadogo ni Watanzania watu wazima wenye akili zao timamu..

Hakuna mfuasi alikwenda kuishitaki hii dini ya huyu dada, ni watu wa nje wasiopenda imani ya dini ya huyu mama ndio wameona choyo wa UBORA wa hii imani kwahiyo imekuwa tishio kwao..
 
Tunahitaji watu kama hawa sijui Zumarid, Mwamposa, Gwajima and the likes

Na yote inatuonyesha kama jamii tuna safari kubwa ya kujitambua na kujitoa ktk makucha ya ujinga, umasikini na maradhi

Tudanganywe, tuibiwe, tutapeliwe lkn ndo gharama za kukua kama jamii au Taifa na pia ni kielelezo cha watu (opportunists) kutumia fursa [emoji23]

Itachukua muda sana kuwa ktk mwanga lkn tutafika huyo mama wamuachie tu
 
Back
Top Bottom