Zumarid anaonewa, wakamatwe na kina Mwamposa

Zumarid anaonewa, wakamatwe na kina Mwamposa

Mungu anavaa weave!lols!
Hahaaa anakwambia Mungu yupo ndani YAKE

Mbona anatoka kesho tu, ngoja awaruke ,uzuri mm namjua vzr Diana , Ashawahi kuwa mtu wangu miaka hiyo.

Huu utapeli anaofanya , wapo wengi ,nashangaa wanamsumbua yeye peke yake
 
Double standard ya Watanzania na Waafrika kwa ujumla, Nionavyo mimi huyu mama hajafanya kosa lolote..

Hajamlazimisha mtu kuingia katika hiyo dini yake, wafuasi wake wamejiunga kwa hiyari zao..

Wafuasi wake sio watoto Wadogo ni Watanzania watu wazima wenye akili zao timamu..

Hakuna mfuasi alikwenda kuishitaki hii dini ya huyu dada, ni watu wa nje wasiopenda imani ya dini ya huyu mama ndio wameona choyo wa UBORA wa hii imani kwahiyo imekuwa tishio kwao..
 
Unatetea uhuni wake sababu kuna wahuni wengine hawakuchukuliwa hatua?? Ebu rudi ukajenge hoja yenye mashiko kidogo mkuu.
 
chabuso,
Ni double standard tu mkuu

Huyu mama Namjua vzr , kafanya anayojua yeye kapata nguvu kafungua kanisa sawa na matapeli wengine kama kina Mwamposa , gwajima
 
Unatetea uhuni wake sababu kuna wahuni wengine hawakuchukuliwa hatua?? Ebu rudi ukajenge hoja yenye mashiko kidogo mkuu.
Wapi umeona nimemtetea

Kwanini double standard wakati kuna wahuni wanawauzia watu Maji na mafuta kwa being za ajabu na wanadunda tu wakiwadanganya yana upako
 
Soma uelewe, kama Zumarid kakamatwa
, Mwamposa anaachwaje?
Zumarid kakamatwa kwa kosa gani?

Maana hakuna tofauti kubwa kati ya zumarid
na kina mwamposa , Mwingira ,na hawa
wanaojiita manabii
Sasa mwamposa anahusikaje wewe au ndio chuki zako binafsi mwamposa yupo kawaida huyo zumaridi hawajaanza leo kumuongelea anajiita mfalume waumini wake wanamwabudu tafuta magazeti ya nyakati au msemakweli wanamuelezeaga sana jinsi anavyopotosha dini so mwache mwamposa
 
Zumarid kwani ndio nani? wengine hatumfahamu mkuu. au unaongelea Zamaradi?
 
Sasa mwamposa anahusikaje wewe au ndio chuki zako binafsi mwamposa yupo kawaida huyo zumaridi hawajaanza leo kumuongelea anajiita mfalume waumini wake wanamwabudu tafuta magazeti ya nyakati au msemakweli wanamuelezeaga sana jinsi anavyopotosha dini so mwache mwamposa
Ona sasa

Unampinga Zumarid huku unamtetea Mwamposa

Pumbaff nyie ndio nawataka

Nipe tofauti ya mwamposa na Zumarid

Mwamposa anawauzia watu Mafuta na maji kwa kuwadanganya yana upako , ulishawahi kuona kwa Mtume au nabii gani wa Biblia ?

Unamcheka anayeibiwa na Zumarid huku wewe unamshabikia tapeli mwamposa
 
Sasa mwamposa anahusikaje wewe au ndio chuki zako binafsi mwamposa yupo kawaida huyo zumaridi hawajaanza leo kumuongelea anajiita mfalume waumini wake wanamwabudu tafuta magazeti ya nyakati au msemakweli wanamuelezeaga sana jinsi anavyopotosha dini so mwache mwamposa
Eti mwamposa yupo kawaida

Pumbaff kweli

Maandiko gani yanasema awauzie watu keki kwa kuwadanganya ina Upako ?

Kama sio ujasiriadini

Unamtofautishaje na Zumarid

WOTE ni wafanya mazingaombwe(Miujiza fake)
 
Ndio shida ya kila jambo kulihusisha na siasa... Mkuu ni kweli kabisa unaunga mkono namna anavyoendesha ibada zake yule mama?
 
Ndio shida ya kila jambo kulihusisha na siasa... Mkuu ni kweli kabisa unaunga mkono namna anavyoendesha ibada zake yule mama?
Siungi mkono ,

Nimeshaleta Uzi nyingi humu kuhusu hawa matapeli

Ila inakuwaje adakwe huyu huku

Kuna wengine wanauzia watu keki, maji, mafuta , na kufanya mazingaombwe (miujiza fake) wanadunda ,wadakwe wote

Nakuhakikishia jumapili zumarid atakuwa ametoka ,

Rejea kesi ya nabii Tito

Hawa matapeli kuna njia ya kuwadhibiti, ila wanaounga juhudi hata hawasumbuliwi
 
Niliona Kuna msukule wake mmoja alikuwa anapiga salute kama ana dege dege ile mzuka sijui kaitoa wapi

Halafu Kuna misukule wengine wanamsujudia heheheh

Daaah zama za mwisho hizi
 
Hahaaa anakwambia Mungu yupo ndani YAKE

Mbona anatoka kesho tu, ngoja awaruke ,uzuri mm namjua vzr Diana , Ashawahi kuwa mtu wangu miaka hiyo.

Huu utapeli anaofanya , wapo wengi ,nashangaa wanamsumbua yeye peke yake
Vipi kaolewa,na watoto je? Tupe taarifa maana ni mtu wako wa miaka ile
 
Niliona Kuna msukule wake mmoja alikuwa anapiga salute kama ana dege dege ile mzuka sijui kaitoa wapi

Halafu Kuna misukule wengine wanamsujudia heheheh

Daaah zama za mwisho hizi
Kila tapeli ana misukule yake

Ulishawahi kukutana na waumini wa Gwajima
 
Yaani wewe unafanana na mtu aliyekamatwa kwa kuiba kuku, kufika kituoni anasema 'mimi mnanionea tu, mbona na wengine wanaiba hawakamatwi'[emoji3]
 
Kitambo sana kwasasa sipo mwanza
Hii ya kuwashangaa waumini tuiache mkuu. Mi mwenyewe mama mzazi anaamini maji hayo wanayouza,alikuwa anayaleta home kila wiki. Ashawahi kunipa mafuta ya upako sijui baraka. Siku nikaenda kwa Mwamposa tukatoa sadaka mara tatu kwenye ibada moja,alafu unanyoosha hela juu ziombewe baraka[emoji23].Sikurudi tena na hata ibada sikumaliza
 
Back
Top Bottom