Ndio ninachosema hapaWatu wanaosali kwa kina papa na kina kadinari, na makanisa mengine huona kama wanaosali kwa hizi independent ministries wanaibiwa sana, wanasahau kua hata wao wanaibiwa. Makanisa yote ni wizi mtupu, taasisi zote za dini ni taasisi za wizi na utapeli. Mungu hayupo.
Zamani kanisa katoliki walikua wanauza msamaha wa dhambi, hata ukofira mtu unaenda unalipa kiasi kadhaa kwa padri anakusamehe, ndio maana hiyo tabia imeota mizizi ndani ya kanisa, watu wanafirana tu toka asubuhi hadi jioni kuanzia waumini hadi mapadri kisha wanalipia wnaaombeana wanasameheana.
Unamuona mtu anawaponda kina gwajima huku bado analipia msamaha wa dhambi, wenye akili tunashangaa sana.
Kuna haja ya research kufanyika na watanzania waambiwe ukweli wa mambo mengi yanayotuzunguka..
Utofauti wa UGANGA VS UNABII...
Acha kupotosha sawa wote ni wapigaji ila huyo zumaradi alikofikia sio dini tena bali ni kuchonganisha baina ya dini na dini/jamii haiwezekani utoke hadharani na kuanza kusema fulani, hakufa bali nipo naye huku, siku nikitaka nitamrejesha, huoni kama hapo ni kuleta mfarakano kwenye jamii?? Wewe piga pesa za wajinga, hata hao wano uza mafuta, maji ya upako sawa tu si wajinga wapo? Ila kwa huyo zumaradi hapana, alipofikia lazima apunguzwe.Soma uelewe, kama Zumarid kakamatwa, Mwamposa anaachwaje?
Zumarid kakamatwa kwa kosa gani?
Maana hakuna tofauti kubwa kati ya Zumarid na kina Mwamposa , Mwingira, na hawa wanaojiita manabii.
Na sasa hakuna tofauti ya Mganga wa kienyeji na hawa wanaojiita manabiiWatu wengi walikuwa wanaona aibu kwenda kwa waganga labda kwasababu ya yale mazingira ya waganga ya matunguri, ngozi za wanyama, mafuvu, pembe nk.. Lakini matokeo yake watu hawa wanakwenda kwa manabii wa kisasa hawa wenye matukio yaliyosawa na waganga tofauti ikiwa ni majengo..
Usipaniki ,Acha kupotosha sawa wote ni wapigaji ila huyo zumaradi alikofikia sio dini tena bali ni kuchonganisha baina ya dini na dini/jamii haiwezekani utoke hadharani na kuanza kusema fulani, hakufa bali nipo naye huku, siku nikitaka nitamrejesha, huoni kama hapo ni kuleta mfarakano kwenye jamii?? Wewe piga pesa za wajinga, hata hao wano uza mafuta, maji ya upako sawa tu si wajinga wapo? Ila kwa huyo zumaradi hapana, alipofikia lazima apunguzwe.
Mkuu wewe inaonekana kwenye hili una personal interest!! Declare kwanza!! Hayo unayosema ya gwajima ni miaka mingapi imepita? Ni awamu ipi, huo ukimwi anaouponyesha huyo frank, ni upi tuanzie hapo kwanza?Usipaniki ,
Mbona Gwajima aliwahi kusema anafufua wafu
Na amedanganya wengi kwa gia hiyo
nabii frank kila siku anadanganya anaponya HIV
Vipi unawatofautishaje hawa na Zumarid?
Kwani nimewasingizia au wewe ni mgeni na hawa manabii wa dar?Mkuu wewe inaonekana kwenye hili una personal interest!! Declare kwanza!! Hayo unayosema ya gwajima ni miaka mingapi imepita? Ni awamu ipi, huo ukimwi anaouponyesha huyo frank, ni upi tuanzie hapo kwanza?
Hahaaa wa wapi huyumbona Suguye hujamtaja
matembele ya pili Kivule😀Hahaaa wa wapi huyu
Upo sahihiNmemskiza uyo dc. kosa hapo ni kukosa leseni/kibali tu hayo mengne ni "figisu za kiswahili"
Eti inakuwaje mwanamke kawa mfalme[emoji23][emoji23][emoji23]
ttunachaguliana life??
Acha atapeli maana wajinga hawaishimatembele ya pili Kivule[emoji3]
Uko sahihi, Tanzania inashindana na Nigeria kwa matapeli wanaotumia jinala dini. Hao akina Gwajima, Lwakatare, Mzee wa upako, mwingie, suguye, bendera, zumardi, mwamposa, nk. ni matapeli wakubwa kuliko hata akina Papa Msofe. lakini serikali inawanaagalia tu, serikali inaweza kuwa inawatumia pia kwa maslahi yao.ZUMARID anaonewa na kosa lake kubwa ni kutojihusisha na kusifia au kuwa karibu na serikali, hilo ni kosa kubwa ambalo kalifanya kwa makusudi au kujisahau .
Zumarid havunji sheria ya nchi, anawa-brainwash wajinga na kupiga mamilioni na maisha yamemnyookea vizuri tu.
Zumarid hana tofauti kubwa na kina Mwamposa, Mwingira, Gwajima, Frank, Mama Rwakatare, GeorDavie, Malisa, na wanaojiita manabii na mitume hapa TZ. Mzee wa Upako (huyu ni wa muda mrefu na siku hizi analalamika wanaokuja wanajiita mitume na manabii hivo wanamuharibia biashara).
Narudia hana tofauti nao kubwa, wote Objective yao ni kupiga hela, Mwamposa anauza keki, maji, mafuta, leso n.k kwa mwamvuli zina upako, na anapiga hela, ila ni mjanja yupo karibu na utawala.
Waulize hata kina Kakobe, Gwajima, Mzee wa Upako wamefikaje hapo bila bugudha; walijiweka karibu na utawala, hivo wakaaminika na kutumia janja zao na mazingaombwe (miujiza fake), kwasasa wana ukwasi mkubwa sana. The same kwa kina Mama Rwakatare, Mzee wa Upako hadi barabara alijengewa, Gwajima kabla ya misa zake atamuombea JPM na makatibu wote wa wizara, na amekuwa akiisifu sana serikali siku hizi.
Hii kwa Zumarid alisahahu, ndio maana Serikali imemfikia, ila hana tofauti yoyote na kina Mwamposa au Gwajima , wanatofautiana tu taratibu za kupiga hela, ila mazingaombwe (miujiza fake) ni ile ile.
Zumarid yupo hapo Isenyi kwa karibu miaka 3, havunji sheria ya nchi, anachokifanya ni kile kile wanachofanya kina Mwamposa, kuwa-brainwash watu na kupata fedha nyingi bila kuilipia kodi.
Naomba double standard isitumike kwa Zumarid Diana Bundala), wakamatwe na hawa wanaowauzia watu maji, mafuta, keki na leso, na kudanganya wanatibu HIV kama anavyojinadi Nabii Frank .
Simtetei Zumarid, ila kama mmeshindwa kuwakamata hawa manabii na mitume waliojazana hapa Dar, Iringa, Mbeya, singida, Arusha, n.k
Basi muacheni Zumarid ale maisha, maana ameshafanikiwa kuwa-brainwash kama Mwamposa alivyofanikiwa.
Asionewe peke yake Zumarid; Gwajima, mwamposa mnawaachaje?
Soon Zumarid ataachiwa na ataendelea na shughuli zake, hakuna sheria aliyovunja.
Hiyo Mungu iweke ianze na herufi ndogoNi Msukuma yupo Mwanza, Isenyi
Anajiita Mungu, ana wafuasi kibao na anakula hela zao kiulaini