Zumarid anaonewa, wakamatwe na kina Mwamposa

Zumarid anaonewa, wakamatwe na kina Mwamposa

Amekamatwa na kufungiwa kwa kosa la kuendesha huduma bila ya usajili. Ayekuwa anatumia mwavuli wake amemtema kwa kuona anaenda kinyume na imani iliyompa kivuli. Hilo ndilo kosa kubwa. Cha kufanya afuaye utaratibu wa kusajili huduma yake tu.
Kabisa na km yeye ni mganga wa kienyeji pia kunataratibu zake 🤣🤣🤣🤣 za usajili
 
Hahaaa anakwambia Mungu yupo ndani YAKE

Mbona anatoka kesho tu, ngoja awaruke ,uzuri mm namjua vzr Diana , Ashawahi kuwa mtu wangu miaka hiyo.

Huu utapeli anaofanya , wapo wengi ,nashangaa wanamsumbua yeye peke yake
Kumbe ndo maaan umekuja mtetea hapa🤔
 
hqdefault.jpg




Je...huyu ndo wakuitwa Zumaridi?
 
Hii ya kuwashangaa waumini tuiache mkuu. Mi mwenyewe mama mzazi anaamini maji hayo wanayouza,alikuwa anayaleta home kila wiki. Ashawahi kunipa mafuta ya upako sijui baraka. Siku nikaenda kwa Mwamposa tukatoa sadaka mara tatu kwenye ibada moja,alafu unanyoosha hela juu ziombewe baraka[emoji23].Sikurudi tena na hata ibada sikumaliza
Hahaaaa dah
 
Soma uelewe, kama Zumarid kakamatwa, Mwamposa anaachwaje?
Zumarid kakamatwa kwa kosa gani?
Maana hakuna tofauti kubwa kati ya Zumarid na kina Mwamposa , Mwingira, na hawa wanaojiita manabii.
Itakua kakamatwa kwa hiyo tofauti ndogo aliyonayo na kina Mwamposa,kama ni tapeli acha ashughulikiwe,na hao siku zao zinahesabika kama nao wanawatapeli watu.
 
Wajinga ndio waliwao,eti mungu anableed duh ama kweli siku za mwisho zimekaribia
 
Watu wanaosali kwa kina papa na kina kadinari, na makanisa mengine huona kama wanaosali kwa hizi independent ministries wanaibiwa sana, wanasahau kua hata wao wanaibiwa. Makanisa yote ni wizi mtupu, taasisi zote za dini ni taasisi za wizi na utapeli. Mungu hayupo.

Zamani kanisa katoliki walikua wanauza msamaha wa dhambi, hata ukofira mtu unaenda unalipa kiasi kadhaa kwa padri anakusamehe, ndio maana hiyo tabia imeota mizizi ndani ya kanisa, watu wanafirana tu toka asubuhi hadi jioni kuanzia waumini hadi mapadri kisha wanalipia wnaaombeana wanasameheana.

Unamuona mtu anawaponda kina gwajima huku bado analipia msamaha wa dhambi, wenye akili tunashangaa sana.
 
Daah hawa manabii wa siku hizi wapo kimaslahi zaidi,na wateja wao wakubwa ni kina Mama, huwezi waambia kitu kwa hawa manabii.

Nilikuwa na Dada yangu enzi za kakobe ilikuwa huwezi kusema kitu,na mm mdogo wake alikuwa nikibishana naye kidogo ananiambia wewe ni wa Motoni tu,sasa yalitokea yakutokea huko akahamia kwa Gwajima,akawa na mbwembwe zilezile tu nikabaki kimya tu,nako huko kumemshinda ukimuuliza vp imekuaje tena,hana hata jibu anaona aibu.....saizi hana majibu ila hataki kuwasikia manabii tena
 
Back
Top Bottom