tatizo channel za bure hazidumu hasa zinazoonyesha content nzuri,mara nyingi utaiona ya bure wanapokua wanaifanyia majaribio then baadae inakua scrambled ndio maana usishangae siku ume blind scan receiver yako ukapata channel kama z sports,tensports,supersport nk.na pia kama unapenda kuangalia mpira clear huwezi poteza muda kuangalia mpira kupitia free channel kwasababu quality ni mbovu mno mfano channel kama mbc2,rdv,drtv,rst ambazo zinapatikana w 3a 7 degree east zinaonyesha epl,champions lg lakini quality ni mbovu sana.na pia channel nyingi wanatangaza kwa kifaransa au kiarabu huo mpira,utaufurahia vp kama lugha hizo hazipandi?ukija kwenye movies hakuna channel ya bure unayoweza kuangalia movies mpyaa iliyotoka karibuni zaidi utaangaalia za kuanzia 2006 au 2007 kurudi nyuma...