Wadau nimejiunga na ZUKU baada ya kuachana na STarTimes,ZUKU kwa hakika wana channel nzuri sana(za kichina hazina nafasi)muonekano wake ni mzuri sana,pia nimependa kuwa na stations za radio ni nyingi sana sasa naweza kusikiliza reggea matata sana,Rock&Roll na miziki mbali mbali(hili la stesheni za radio hawa ST hawana)pia nimesikia muda si mrefu kwa kutumia hicho king'amuzi tutapata na internet na simu,atleast sasa na enjoy hasa kwa package ya Zuku Premium (Tsh 40,000),moto ukiwa ndio huu(wasije kuwa kama Gtv) nahisi Dstv, itakuwa kwaheri au itabidi nao washuke bei.Kwa Startimes,Ting na Easy moto wa ZUKU utazidi kuwababua

Hakuna kitu, hawana hata mpira weu tuuuuu hao hawana lolote, Tv ni mpira tu
Duh elfu arobaini?
Vp kuhusu watu wa mikoani unatakiwa kuwa na nini uweze kuunganishwa?
Wewe ni agent wa Zuku? Upo kazini unafanya marketing? Kwa hiyo Zuku premium unapata channel ngapi na zipi (local+International)Wadau nimejiunga na ZUKU baada ya kuachana na STarTimes,ZUKU kwa hakika wana channel nzuri sana(za kichina hazina nafasi)muonekano wake ni mzuri sana,pia nimependa kuwa na stations za radio ni nyingi sana sasa naweza kusikiliza reggea matata sana,Rock&Roll na miziki mbali mbali(hili la stesheni za radio hawa ST hawana)pia nimesikia muda si mrefu kwa kutumia hicho king'amuzi tutapata na internet na simu,atleast sasa na enjoy hasa kwa package ya Zuku Premium (Tsh 40,000),moto ukiwa ndio huu(wasije kuwa kama Gtv) nahisi Dstv, itakuwa kwaheri au itabidi nao washuke bei.Kwa Startimes,Ting na Easy moto wa ZUKU utazidi kuwababua
Ahsante kwa taharifa. Lakini je PRIMIE LIGUE,LA LIGA na BUNDESLIGGA wanaonyesha? Kama hawana football chanel'z basi hawanaWadau nimejiunga na ZUKU baada ya kuachana na STarTimes,ZUKU kwa hakika wana channel nzuri sana(za kichina hazina nafasi)muonekano wake ni mzuri sana,pia nimependa kuwa na stations za radio ni nyingi sana sasa naweza kusikiliza reggea matata sana,Rock&Roll na miziki mbali mbali(hili la stesheni za radio hawa ST hawana)pia nimesikia muda si mrefu kwa kutumia hicho king'amuzi tutapata na internet na simu,atleast sasa na enjoy hasa kwa package ya Zuku Premium (Tsh 40,000),moto ukiwa ndio huu(wasije kuwa kama Gtv) nahisi Dstv, itakuwa kwaheri au itabidi nao washuke bei.Kwa Startimes,Ting na Easy moto wa ZUKU utazidi kuwababua
Vp kuhusu watu wa mikoani unatakiwa kuwa na nini uweze kuunganishwa?