Zuku imepotelea kwenye mawimbi

mfianchi

Platinum Member
Jul 1, 2009
11,855
8,253
Jamani wenzangu watumiaji wa Zuku kutwa nzima leo sipati channeli ,ni kwraaa kila wakati,ni kama TBC wanavyotangaza habari,hali hii ikiendelea naenda TCRA nikawashitaki hawa jamaa kwani hela niliyolipia inaenda bure kwa kutopata huduma niliyolipia,halafu walivyo wa ajabu hata hawasemi kama kuna tatizo,hakika sasa ni mambo ya mgema akisifiwa tembo hulitia maji
 
hali ya hewa jana ilikuwa na mawingu mazito inawezekana yaliingilia kati na kuhalibu mawasiliano toka kwenye satelite na dish lako. Vumilia mkuu.
 
Back
Top Bottom