Zuchu kuimba MABUNO kuna hatari kubwa kupoteza kizazi kijacho

Mkuu kikubwa ni kutimiza majukumu yetu kama wazazi tusiwalinde saaana hawa watoto.
Maana hakunaga bingwa wa malezi watoto wakiamua kukengeuka hata uwe Pastor/Sheikh kamwe hutaweza.
AsantešŸ™
 
Zuchu bna kuna muda anatoa nyimbo nzurii ila kuna muda anatoa vitu vya ajabu na ilivyo ngumu kumlinda mtoto kusikiliza nyimbo wazazi wa kizazi cha sasahvi kazi tunayo
 
Yeye mwenyewe ni zao la kukosa maadili ataimbaje maadili.
Msanii na maadili ni vitu viwili tofaut.
Ukiwa na maadili soko linakukataa hii ni dunia nzima
 
Mnapenda sana kuwashutumu wasanii kwa kuharibu maadili ikiwa nyie hao maadili hamyazingatii kwa watoto wenu.

Sasa hivi, nikikuambia unitajie series bora na unazozipenda utataja

1. Game of throne iliyojaa ngono tupu.

2. Breaking bad ambayo imejaa uuzwaji wa madawa ya kulevya.

3. Strike, imejaa ngono na ufiraji wa kutisha.

4. Money heist (wizi na ujambazi).

Sijui hayo maadili unayachukuliaje?

Siku hizi ndoa zinavunjika sana na wanawake wanajiuza ovyo mtaani.
Kwanini umemchagulia hizo series? Si ungetulia achague mwenyewe?

Mf mimi.. hapo nimeona no 2 tuā€¦ shida mbongo akizoea kitu anadhani kila mtu anatumia.

Njoo tuangalie One piece basi šŸŒš
 
Inategemea unaeleaje mtoto wako Kama hauna hela lazima mtoto wako apotee hasa Hawa wanawake watoto wa kike wanawaza Sana ngono nashangaa watoto wa 2006-2009 the all time wanapiga story za wanaume tu .nipo Temeke Hapa.


Honestly wazazi tafuteni pesa mtoto akiwa protected kwa nyumba yenye fensi na unamwekea vitabu anasoma apende asipende huku unaangalia na talent yake .

Tofauti na hapo unakaa nyumba za kupanga lazima mtoto atombeshe Sana na Bora Apate hiyo Mimba Ila sio Ukimwi na magonjwa mengine ya zinaa yasiyotibika kirahisi.


Baada ya ujio huu wa Vibuno nimejionea Mama na mwanae Wanakazwa na mtu mmoja the same area so sad
 
Hiyo nyimbo pamoja na kwamba haina maadili ila ni hit song, watoto wanaipenda hiyo nyimbona kwenye vishughuli ndo balaa.

Nimeona watoto wa aunty yangu wadogo sana miaka 5 wakiimba na kucheza.

Sema zuchu anapendwa sana na watoto ila anachowaletea ndo matatizo
 
Hiyo nyimbo pamoja na kwamba haina maadili ila ni hit song, watoto wanaipenda hiyo nyimbona kwenye vishughuli ndo balaa.

Nimeona watoto wa aunty yangu wadogo sana miaka 5 wakiimba na kucheza.

Sema zuchu anapendwa sana na watoto ila anachowaletea ndo matatizo
Na wewe unaona ufahari
Watoto wa anty yako kukata mauno+kuimba nyimbo hizo

Ova
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom