sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,704
- 9,922
Zuchu ndani ya Yeezy.
Amevaa boda boda mbili mguuni.
Amevaa boda boda mbili mguuni.
Punguza hasira mwamba, maisha umeyakosea mwenyewe usitafute pakufiaAcha kufananisha boda boda na vitu vya kijinga.
Na nani amekwambia boda boda moja MILIONI moja?
Na hapo bado hamjafanya negotiation
Huyo ni msanii na Hiyo ni bei ya kiusaniiHayo madubwasha ni zaidi ya milioni 2???
Hmm...