Zuchu anavyogombanisha madereva na matajiri wao.

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
5,102
Reaction score
14,024
Matajiri wanadai wanapunguza cost, madereva wanalalamika hakuna comfortability
images (1).jpeg
 
Sijui ni lini nimeona iveco yaani sikumbuki
Nnazo IVECO mbili,moja imekufa engine niliagiza engine used UK aisee nimepigwa Engine imekuja hamna kitu imeoza.Moja ndio kidogo inajikongoja lakini Fundi akae standby

Iveco ni gari inayosumbua sana maana ni Full umeme.

IVECO inaweza kukufanya wewe mmiliki,fundi wako na dereva mkaanza kutafuta fundi,matajiri wengi kwa sasa hawatumii iveco,zimebaki kwa matajiri wachache sana kina Asas labda..Ssi wengine tunaoanza biashara tunawavua watu kwa million 20 hadi 30 unapata na trailer lako la mtumba unaingiza gari barabaran ukae roho juu,ukiibiwa Adblue sensor tu andaa 600,000 hapo bado turbo haijasumbua bila kusahau ukikwanguliwa tu side mirror bei yake 350,000 na ikifika kwenye service Oil filter,water separator na Diesel Filter andaa laki tatu kupata hii set...wakati kwa mchina vyote hivi havifiki laki na nusu

Hii imetokea leo tu kwa IVECO yangu moja inayojikongoja ipo na mzigo wa watu kwenda Kenya huko
 
mchina ni zile SHACMAN new model aseeee mchina anazidi kuwapumulia wazungu
The best of them all kwa macho madogo ni zile SITRAK za bakhresa I bet zile ni special order sioni mtu mwingine aliyenazo, I stand to be corrected.

AISelect_20250624_234527_Chrome.jpg
 
Nnazo IVECO mbili,moja imekufa engine niliagiza engine used UK aisee nimepigwa Engine imekuja hamna kitu imeoza.Moja ndio kidogo inajikongoja lakini Fundi akae standby

Iveco ni gari inayosumbua sana maana ni Full umeme.

IVECO inaweza kukufanya wewe mmiliki,fundi wako na dereva mkaanza kutafuta fundi,matajiri wengi kwa sasa hawatumii iveco,zimebaki kwa matajiri wachache sana kina Asas labda..Ssi wengine tunaoanza biashara tunawavua watu kwa million 20 hadi 30 unapata na trailer lako la mtumba unaingiza gari barabaran ukae roho juu,ukiibiwa Adblue sensor tu andaa 600,000 hapo bado turbo haijasumbua bila kusahau ukikwanguliwa tu side mirror bei yake 350,000 na ikifika kwenye service Oil filter,water separator na Diesel Filter andaa laki tatu kupata hii set...wakati kwa mchina vyote hivi havifiki laki na nusu
View attachment 3381957

Hii imetokea leo tu kwa IVECO yangu moja inayojikongoja ipo na mzigo wa watu kwenda Kenya huko
Mkuu hongera sana kuhusu iveco wataliano sijawahi kuona kama wamebobea sana kama wajerumani na waswidi huwa nahisi tu huko Italia kuna wazee peke yao.
 
Back
Top Bottom