Zuchu anajua kuimba kuliko Alikiba?

Hujui heshima nini,
Hujui neno lakusema kwa nani na wapi.
Upogi tu na hicho kitecno chako unaandika upupu.
Try someone else please.
Lasivyoo usinipushi nifukue makaburi long agenda kukuonyesha tumemove on sina muda nawewe.
Ufukue makaburi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ
Kumbe ndio kazi yako ya kufukua makaburi ndio maana unaandika la mbele nyuma na la nyuma mbele, lol

Seriously ukiwa unafukua makaburi zaidi hua unachukua nini humo ndani, ๐ŸŽค๐Ÿง

Funguka usiogopeeeee
 
Wewe nitafute tu kwa maana kiukweli watu humu wanajua wewe shoga na hawajui jinsia yako kamili tuambie tu ukweli wewe unazote??
 
Wewe nitafute tu kwa maana kiukweli watu humu wanajua wewe shoga na hawajui jinsia yako kamili tuambie tu ukweli wewe unazote??
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ hawajui jinsia yangu kamili lakini wewe si unaijua vizuri hebu waambie basi
 
Kuna kitu unaki "miss" ,usichokijua ni kwamba muziki unavitu vingi mno kama experience, tolerance factor, phase transformation na genuine fan base. Sasa kwa muda huo mchache Zuchu ameshapata vyote ivyo. By the way I mean no offence.
 
Sometimes kutokana na Mapenzi ya dhati na MSANII husika unaweza diriki kusema mmoja ni bora Kuliko Mwingine Ila kuna Nakubali kuwa Zuchu yupo vizuri in terms of Live Perfomance ILA Alikiba ana experience kumzidi Zuchu na Yuko Vizuri kwenye Melodies
 
Back
Top Bottom