Zuchu achaguliwa tuzo ya Afrimma

Binti hana hata miezi sita.. kaanza kuwekwa matuzo ya africa.. huku kina ruby wana miaka na miaka hawawekwi... binti mitandaoni ma subscriber na ma followers kibao wakati katoka juzi juzi tu
Man,Zuchu is more than 4yrs in the industry......note that!!
 
Sio lazima wote tumpende bro, kama wewe hujauona wimbo wake mkali basi sawa ila nyimbo zake zimekuwa streamed mara millioni 4 boomplay akiwaacha mbali wasanii wengi wakongwe kama Alikiba, mimi mara,mario,n.kView attachment 1567468

Na apple music wanamjuaView attachment 1567471

Hawa afrimma wamekosea wapi??? mlitaka wamuweka nani???View attachment 1567473View attachment 1567474

Sio lazima wote tumpende ila umati ndio utakao amua na umati wenyewe ndio huo kwenye social media.
Kutoka boomplay, YouTube,apple music na platforms nyingine inaonesha kwamba yeye ni miongoni mwa wasanii wanaotazamwa sana Afrika mashariki.
Hii nondo ngumu haswa...hakuna wakuikunja... Watabaki kuikwepa sana
 
Binti hana hata miezi sita.. kaanza kuwekwa matuzo ya africa.. huku kina ruby wana miaka na miaka hawawekwi... binti mitandaoni ma subscriber na ma followers kibao wakati katoka juzi juzi tu
Kwahiyo, na yeye kajiunga freemason???
 
Back
Top Bottom