kuna plugin ya dreamwaver inaitwa phonegap inachange kitu kilichotengenezwa kwa web kua apps. yani unatengeneza kawebsite kama app hivi then phonegap inamaliza yenyewe inakupa application yako. so far inasuport android, ios, symbian na blackberry
na mfano wa app kubwa iliyotengenezwa na phonegap ni app ya bbc. kila siku hii app naitumia kwenye simu yangu ipo cheap sana kuifatilia ndo nikaona huu ujanja
ubuntu katoa yake ila ukiweka kwenye simu hautakua na uwezo wa kutuma normal text msg bado wanafanyia kazi suala hilo..mimi binafsi nilipendezwa nayo sasa nasubiria na hawa wandugu nao waachie wazi wazi tujaribie kwenye vimeo vyetu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.