zoomTanzania moved from beauty to Ugly

zoomTanzania moved from beauty to Ugly

networker

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2011
Posts
570
Reaction score
217
Jamani wanao miliki zoomtanzania web yenu mme iharibu sana aise imetoka from beaty to ugly Mr Kirk totolucky realy this is the best you did???? Zamani web yenu ilikuwa nzuri sana easy to use and navigate ila sasa gush! nimefungua tu nikafkiri nina low connetion web haijafunguka vizuri kumbe ndo tayari final page hiyo
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli kabisa muonekano wa sasa wa zoomtanzania ni full of ----
 
Jamani wanao miliki zoomtanzania web yenu mme iharibu sana aise imetoka from beaty to ugly Mr Kirk totolucky realy this is the best you did???? Zamani web yenu ilikuwa nzuri sana easy to use and navigate ila sasa gush! nimefungua tu nikafkiri nina low connetion web haijafunguka vizuri kumbe ndo tayari final page hiyo

Nami nilishangaa ivoivo, nashauri warudishe kama ilivokuwa zzamani.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli wameiharibu sana,sasa hivi ukiedit advert hairudi ukurasa wa kwanza, inaendelea kupotelea kwenye next pages.
Warudishe kama zamani.
 
Kumpe sipi peke yangu! Ila ya kwanza nayo ilikuwa ugly lakini at least ilikuwa fast na usable, sasa hivi ni mwendo wa kobe plus lile limenu linavyopop up nalichukia sana.
 
for real mimi nimekuta link mtu kaniwekea kubuy some thing ndo nikaiona zoom tanzania kwa mara ya kwanza, naomba niulize wazoefu wa hii kitu kama WAHEED SUDAY, Msingida ,NIGGA kama wazoefu,.. how does it work na is it to be trusted, kwamfano mimi binafsi nipo mwanza na muuzaji yupo dsm, hapo shipment niaje.. tafadhali nifungueni acho wakuu...
 
Hilo swali ni sawa na kuuliza, hivi jf ni trusted nikinunua kitu siwezi kulizwa?!!!!
 
unajua ts best to be straight na kujibu swali kama una maelezo..maana wengine tumezoea ebay na amazon kuchukua bidhaa isitoshe nimekwisha kueleza ndo nimeiona domain leo sasa cha kujibu ni kama unaexperience nayo au huna kama huna jibu na maelezo waache watu kama,Mwl.RCT, WAHEED SUDAY, Msingida ,NIGGA ,donlucchese ,njunwa wamavoko wajibu maana ndio majibu yao yako straight na yanaeleweka wewe naona unanipotezea muda na huelewi.. hii ni forum usijibu kama hujui CYBERTEQ, ts best kama ungekaa kimya mkuu. nashukuru kwa kusoma na nina imani ull grow up na kujielewa... karibu
 
for real mimi nimekuta link mtu kaniwekea kubuy some thing ndo nikaiona zoom tanzania kwa mara ya kwanza, naomba niulize wazoefu wa hii kitu kama WAHEED SUDAY, Msingida ,NIGGA kama wazoefu,.. how does it work na is it to be trusted, kwamfano mimi binafsi nipo mwanza na muuzaji yupo dsm, hapo shipment niaje.. tafadhali nifungueni acho wakuu...

Zoom hawauzi kitu chochote so biashara zote unafanya directly na anayeuza.

So sio kama ebay ni middleman, Zoom ni kama craiglists hivi ni sehemu ya kubandika matangazo yako tu.
 
shukran sana mkuu. nimekuelewa
 
Back
Top Bottom