zoom@Tz NIMEWAKUBALI

zoom@Tz NIMEWAKUBALI

Hongera bro Mujumba and all the best as you start your new job. We at JF are happy for you.
 
niliona tangazo la kazi zoom@tz, nikatuma maombi, that was in july last year, nikaitwa interview mwezi huo huo tukaambiwa tusubiri majibu! Nimesubiri kwa muda wote huo last week jamaa wameniita nikaanze kazi morogoro,gross salary ni 1.2 m tsh, nyumba, gari vyote nimekabidhiwa leo, cant wait to start kuchangia to jamiiforums! Narudisha sifa za pekee kwa zoom@tz kwa kunikutanisha na hili shirika la waamerika! Nilichojifunza kuwa maisha yanahitaji uvumilivu sana na yesu ni jibu siku zote!
tangazo ilo utalilipia
 
Hongera sana,mweke Mungu mbele hatokuweka nyuma
 
niliona tangazo la kazi zoom@tz, nikatuma maombi, that was in july last year, nikaitwa interview mwezi huo huo tukaambiwa tusubiri majibu! nimesubiri kwa muda wote huo last week jamaa wameniita nikaanze kazi morogoro,GROSS SALARY NI 1.2 M TSH, nyumba, gari vyote nimekabidhiwa leo, cant wait to start kuchangia to jamiiForums! narudisha sifa za pekee kwa zoom@tz kwa kunikutanisha na hili shirika la waamerika! nilichojifunza kuwa maisha yanahitaji uvumilivu sana na yesu ni jibu siku zote!
hapo kwenye red tu mkuu...umenifurahisha sana kutambua mchango wake kwenye maisha yako......in fact ukweli ndio huotu hamna lingine sasa kama haamini ajaribu kutumia nguve zake na akili zake mwenyewe aone kama hujakaa benchi mpaka mwisho wa msimu wa kutafuta ajira...!
 
sawa mkuu, maisha haya bila Mungu ni ubatili mtupu

Hahaha! Mkuu Mujumba, kwa bahati mbaya mimi ni mfuatiliaji sana wa records zako humu JF.
Nakumbuka kipindi cha kesi ya Lulu ulitamba sana kwamba wewe ni Mwanasheria mahiri, na kwamba unaishi Afrika kusini, eti unataka kujitolea kumsaidia huyo mtoto(Lulu). Kumbe ulikuwa unacheza na akili zetu, kwa kufanya Ujanja ujanja tu?

Ukiendelea kudanganya nitauleta huo uzi hapa!
 
tupe link mkuu!!!!!! hapa napata harufu ya usanii usanii!!!!!!!!!!!
 
Uongo mtupu

niliona tangazo la kazi zoom@tz, nikatuma maombi, that was in july last year, nikaitwa interview mwezi huo huo tukaambiwa tusubiri majibu! nimesubiri kwa muda wote huo last week jamaa wameniita nikaanze kazi morogoro,GROSS SALARY NI 1.2 M TSH, nyumba, gari vyote nimekabidhiwa leo, cant wait to start kuchangia to jamiiForums! narudisha sifa za pekee kwa zoom@tz kwa kunikutanisha na hili shirika la waamerika! nilichojifunza kuwa maisha yanahitaji uvumilivu sana na yesu ni jibu siku zote!
 
niliona tangazo la kazi zoom@tz, nikatuma maombi, that was in july last year, nikaitwa interview mwezi huo huo tukaambiwa tusubiri majibu! nimesubiri kwa muda wote huo last week jamaa wameniita nikaanze kazi morogoro,GROSS SALARY NI 1.2 M TSH, nyumba, gari vyote nimekabidhiwa leo, cant wait to start kuchangia to jamiiForums! narudisha sifa za pekee kwa zoom@tz kwa kunikutanisha na hili shirika la waamerika! nilichojifunza kuwa maisha yanahitaji uvumilivu sana na Yesu Kristu ni jibu siku zote!

Sifa na Utukufu kwa Mungu
 
Back
Top Bottom