Mbona kama mnafanana majina!! Ni wewe au ni ndugu yako!? Lol...
hatujawahi kwanguana kabisa
hata hug tu haikuwahi tokea
ila dah, sirudi nyuma maana najua sina upendo wa kweli kwake,ungekuwepo ningemkubali zamani.
Labda ile tolerance yake kwangu ndio inampa marks na ule ushirikiano na heshima iliyopo kati yetu.
He looks like a good father.
Ha ha ha ha ha dada Konnie kafuga Zombie .........limigeuka Dracula......liwa dada kwa taabu zako.......kama yupo sooo gud to be a hubby nipo tayari kumpa tuition bure na field ntagharamikia ya kumbadili na kum twist awe a bit of rough n tough ili ndoa yako idumu my dada...............!!!!!!!
Tena dracula hasa, linataka kula nini sijui
Ila nimelishtukia mapema
af we dogo we piga kelele weee imba weee cheza makida hapa na maraight weeee !ila glamobox utaenda tu!
aliyekwambie yale makitu kuna urefu na ufupi nani,we toka lini umekuwa mwalimu wa hesabu topic ya metrics sijui kulinganisha urefu na ufupi wa kitu!
kwanza urefu wa mtu ni kuanzia kiunoni kwenda juu huko kweingne sawa sawa tuuu!hapana kuwa na wasiwasi!
nshaliona hilo
ndio maana imebidi nijihami hapa kwanza
afu nijipe muda wa kutafakari, nimekosea wapi hadi zombie ananiambia 'i love u' kila siku?
Tena, we ngoja, kuanzia kesho sipokei simu zake wala sijibu sms.
vyote vyote anafanya, simu, laivu, meseji.
Hadi namshangaa huu ujasiri anaupata wapi?
Ujue hadi ananifanya eti naona aibu kumtizama usoni? Me? At this age? Feeling shy? For a zombie?
God forbid!
Au kaniendea kwa mganga? Kuna saa natamani apige simu ujue?
Naombeni msaada kwanza,
Hivi, Zombie maana yake nini?
Hata hivyo, kama ina maana ya wale jamaa tuliowahi kukutana nao enzi za ujana wetu....Basi Kongosho atulie tu waendelee kuifaidi historia!!
Babu DC!!
Naombeni msaada kwanza,
Hivi, Zombie maana yake nini?
Hata hivyo, kama ina maana ya wale jamaa tuliowahi kukutana nao enzi za ujana wetu....Basi Kongosho atulie tu waendelee kuifaidi historia!!
Babu DC!!
Ni wale ulowasusa na kuwachunia bila kuwapa nafasi lakini wakaendelea kuwa loyal kwa mtu
Sasa namshangaa huyu anataka kuota mapembe, kweli?
Ndio, msukule wa hiari, hajalazimishwa
Sasa msukule unataka kuwa dracula, sijawahi kuona hii