nelly nely
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 665
- 229
Zoba na wenzake walipewa homework na mwalimu wao siku ya ijumaa,waliambiwa wachore gari likipanda mlima.Siku ya jumatatu mwalimu alikagua kazi na wote walichora gari likipanda mlima,ila Zoba alikuwa amechora barabara tu ikipanda mlimani!ticha akamuuliza,"Gari liko wapi?",Zoba akamjibu,"mwalimu,toka ijumaa hadi leo gari linapanda mlima??!!"