Ziwa victoria lageuka jalala

Apr 24, 2020
37
15
Ndugu wana jamii,ni jambo la kusikitisha kuona ziwa victoria kugeuzwa na baadhi ya watu kuwa eneo lao la kutupa takataka mbali mbali zikiwemo zile ambazo ni hatarishi kwa afya ya viumbe hai vilivyomo ziwani humo.Jambo hili ni hatari pia kwa watumiaji wa rasilimali mbalimbali zinazopatikana kwenye ziwa hilo
IMG_20231201_143116.jpg
IMG_20231201_141330.jpg
IMG_20231201_092834.jpg
IMG_20231201_092809.jpg

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Attachments

  • IMG_20231201_143245.jpg
    IMG_20231201_143245.jpg
    219.4 KB · Views: 3
  • IMG_20231201_143114.jpg
    IMG_20231201_143114.jpg
    181 KB · Views: 2
  • IMG_20231201_141330.jpg
    IMG_20231201_141330.jpg
    185.5 KB · Views: 2
  • IMG_20231201_093923.jpg
    IMG_20231201_093923.jpg
    125 KB · Views: 2
  • IMG_20231201_091907.jpg
    IMG_20231201_091907.jpg
    125.3 KB · Views: 1
  • IMG_20231201_090046.jpg
    IMG_20231201_090046.jpg
    138 KB · Views: 2
Ndugu wana jamii,ni jambo la kusikitisha kuona ziwa victoria kugeuzwa na baadhi ya watu kuwa eneo lao la kutupa takataka mbali mbali zikiwemo zile ambazo ni hatarishi kwa afya ya viumbe hai vilivyomo ziwani humo.Jambo hili ni hatari pia kwa watumiaji wa rasilimali mbalimbali zinazopatikana kwenye ziwa hilo View attachment 2831808View attachment 2831809View attachment 2831810View attachment 2831811

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Unapo taarifu jambo ni vyema ukaeleza na eneo husika ili wahusika wa mazingira walifikie, ziwa Victoria linahusisha mikoa minne kama sijakosea.
 
Ndugu wana jamii,ni jambo la kusikitisha kuona ziwa victoria kugeuzwa na baadhi ya watu kuwa eneo lao la kutupa takataka mbali mbali zikiwemo zile ambazo ni hatarishi kwa afya ya viumbe hai vilivyomo ziwani humo.Jambo hili ni hatari pia kwa watumiaji wa rasilimali mbalimbali zinazopatikana kwenye ziwa hilo View attachment 2831808View attachment 2831809View attachment 2831810View attachment 2831811

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ni Mwanza sehemu gani hii mkuu?
 
Halafu hayo hayo maji badae eti ndo tunakunywa dah! lazima siku za kuishi ziwe chache
Hapo kwa muonekana tu nadhan ni Kirumba.
Huo ni ule mtaro unaotokea Rock City Mall kupitia viwanja vya Furahisha.
Niliwahi pia kuandika mada kama hii humu, lkn kwakuwa Viongozi wetu hawana maono mbele hawawezi elewa athari zijazo za hayo mataka taka. Bora liende style
Ni madhara ya ongezeko kubwa la watu huku miji haina mipango na wananchi wasio na elimu

Ndio maana tunashauriwa kuzaa kwa mpango ili kuepuka hali kama hizi, ila tunaona ni sifa kuzaa watoto 9
 
Back
Top Bottom