Ziwa Duluti, Arusha

Madam ilikuwa mwaka gani
 
Panaitwa sanksi
 
Sasa mimi nimezaliwa hapa na nimesoma hapa....,,,,nasema hakuna kituo kinachoitwa Duluti Bali ukitokea Moshi waweza shukia Tengeru pale stand ukachukua boda ukiwaambia unafika Duluti watakupeleka ni buku tu Pia ukitokea Arusha Mjini unaweza shukia Sang'si pale ulichukua boda unapelekwa pia kwa buku hiyo hiyo

Then kuhusu suala lakuogelea unaruhusiwa kabisa ila watu huogopa kuogelea kwasababu ya Historia ya Nyuma ila sisi ma Baharia hatuogopagi na kila jpili utatukuta pale hapa mwanzo (Forest) tunapiga mbizi na Wazungu mana weekend pale ni kama wote ase karibuni


Chonde chonde ukitaka kuogelea uwe na mwenyeji pia bot zipo full kuzungushwa ziwa zima ukitaka
 
Nilitembeleaga hayo maeneo 2016 had sas sijawez kutembelea tena bt nawish san kurudi kupaona tena
 
Asante tutakuja kutalii
 
Hizo picha zimenikumbusha mbali ziwa linamuonekano wa green... linatisha sana mkiwa wachache.. nilifika 1994 wadau wetu wawili waliogelea ila story za kufa watu tulizikuta it's means watu hudanja sana basi
 
it is said to be a volcanic lake or sunken land, with unknown inlet streams nor outlet stream, Watz hawajafanya utafiti kuhusu Lake Duluthi.
Sijui nani anahusika kuhusu utafiti wa Ziwa hilo!
Kufa au kuzama ndani ya ziwa hilo ni kama kuona O ya mbuzi.
Nakumbuka kuna majambazi walivamia sehemu huko huko Tengeru walipokurupushwa na risasi za polisi wa Doria wakakimbilia huko ziwani hawakuonekana mpaka leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…