Nukta5
JF-Expert Member
- Jun 7, 2014
- 1,192
- 1,315
Basi kati ya JK au Msaranga ndio kulikua na case hiyo ya mwanafunz kuzamahapana
Basi kati ya JK au Msaranga ndio kulikua na case hiyo ya mwanafunz kuzamahapana
uhuhuhuu kwan mawenzi nao kuna alieyazama mkuu?? Mbona umeitajaBasi kati ya JK au Msaranga ndio kulikua na case hiyo ya mwanafunz kuzama
Ndio ndio mkuuUSA cyo
Thank you so muchPoor grammar
Sorry mkuu nilichanganya rangi ya uniformuhuhuhuu kwan mawenzi nao kuna alieyazama mkuu?? Mbona umeitaja
Hiyo JK nyerere mzee ...Mlikuaga mawenzi?
umenifanya nimkumbuke kindege na kanje loh wapi lyaruu nataman enzi zirudi
😂😂 sura zao nazikumbuka lakini majina wengi nimeyasahau, watu wamepoteana eb nambie ulikua science ipi??Haah Kanje the real Phisics teacher ever seen , Yaan Yule teacher anajua..Nlipokuwa advance nlimkumbuka sana maana nlikutana na mijiwalimu hata kufundisha haijui....Kuna Mwandunga respect sana, Kuna mwalimu wa history yule jina limenitoka kidogo kuacha lyaruu respect zake pia, madam wa kiswahili respect sana, kemia na biology kama utakumbuka majina nitajie niwape respect zao
Kimia, Pastor, Double look, Masenyi atcHaah Kanje the real Phisics teacher ever seen , Yaan Yule teacher anajua..Nlipokuwa advance nlimkumbuka sana maana nlikutana na mijiwalimu hata kufundisha haijui....Kuna Mwandunga respect sana, Kuna mwalimu wa history yule jina limenitoka kidogo kuacha lyaruu respect zake pia, madam wa kiswahili respect sana, kemia na biology kama utakumbuka majina nitajie niwape respect zao
Siku ukiwa na akili ndiyo siku ambayo Tanzania itapiga hatu za maendeleo....Hizi maliasili tumepewa na Mungu, wewe na wenzako mnachaji watu pesa kuliona ziwa?
Kimia, Pastor, Double look, Masenyi atc
Kimia, Pastor, Double look, Masenyi atc
[emoji23][emoji23] sura zao nazikumbuka lakini majina wengi nimeyasahau, watu wamepoteana eb nambie ulikua science ipi??
nimeishia tu kutabasam naskiaga na kiwango alifariki, huseein mufti piaSience 2 na kina castor, fadhil chogo,
Kweli asee, Husen Muft, kiwango,ndelao...RIPnimeishia tu kutabasam naskiaga na kiwango alifariki, huseein mufti pia
Yap yule alikua na makengeza flan hiviHivi double look ndie shirima baba?